Haya ni maajabu!! Rais anashinda ndani kama utumbo?!!

Unasahau majukumu ya Rais wa nchi ni yapi. Mamlaka ya kuongoza nchi hutoka kwa Mungu.

Daudi aliuwa maadui wa Israeli mchana ulipofika usiku akaanza kuandika Zaburi ambayo tunaisoma mpaka leo.

Mfalme Suleiman alishughulika na maadui wa Israeli mchana ulipofika usiku akawa anaandika Mithali tunayoitegemea mpaka leo.

Samia akiwa mtawala aliyeapa mara mbili anapotoa amri kwa wanajeshi ujue ni ya halali, nyinyi vibaka mlioingia mitaani na kupora mali za watu kwa kisingizio cha maandamano mtakuwa mmejifunza kitu fulani muhimu maishani.

Kwamba njozi unazokuwa nazo huwa tofauti kabisa na uhalisia wa maisha namna ulivyo.
 
Halafu hii scenerio mbona ilizagaa sana? Inaukweli kiasi gani?

Ila tunamuombea Kila lililojema, ila akiri na kutubu lililofanyika maana halina Afya na halitakuwa na amani katika maisha yake hapo mbeleni Bali ni majuto na huzuni zisizo na kikomo
 
ni zaidi ya masihara Daudi na Sulemani kumlinganisha na Yezebeli.
Kuna manabii wamejificha mapangoni kwa sababu ya Yezebeli!
 
ni zaidi ya masihara Daudi na Sulemani kumlinganisha na Yezebeli.
Kuna manabii wamejificha mapangoni kwa sababu ya Yezebeli!
Rais akishakula kiapo mbele ya hadhara anakuwa na madaraka makubwa sana, tatizo la vijana wa Gen Z hawajui mengi kuhusiana na nchi yao inavyoendeshwa.

Huwezi kuvunja na kuiba mali za watu kwa kigezo cha maandamano eti kwa sababu umeambiwa na Mange kwamba JWTZ wapo pamoja na nyinyi!. Huyo Mange haelewi chochote kuhusiana na namna nchi zinavyoendeshwa.

Vijana wamejifunza kwa namna ngumu sana tarehe 29 October.
 
Mbona Wazingu hawaui Wananchi wao?
Mfano Chama cha Biden mbona walikubali kuachia Ikulu kwa Chama cha TRUMP
 
Akitoka nje mnakasirika na kumtukana hapo mnamuombea afe ..wajinga nyie

Kwani maombi gani yashawahi kufanya kazi? Alubadiri? Kuna watu walishachija hadi ngamia na kufanya maombi ya kilio lakini majibu yakawa hola hadi leo!
 
“Mwanadamu aliyezaliwa na mwanamke,
siku zake ni chache.”
(Ayubu 14:1)
Hata mki quote Quran, narudia, Mungu hafanyi Kazi kwa amri na matakwa yenu Bado hamjamjua Mungu mnaendeshwa na mihemko...Mungu atatenda sawa sawa na ambavyo itampendeza yeye, anaweza kuamua akae Hadi uzeeni miaka 90, wewe unaemuombea KIFO ukamuwahi kutangulia hata kama matendo yako ni meupe Kama theluji
 
Mbona Wazingu hawaui Wananchi wao?
Mfano Chama cha Biden mbona walikubali kuachia Ikulu kwa Chama cha TRUMP
Misingi ya taifa letu ni ipi!?linapokuja swala la madaraka!!?

Uhai wa mtu sio chochote kama itikadi yake na maoni yake yanatishia chama kushika dola!

Sisi uhai wa chama ni muhimu kuliko uhai wa mpiga kura!
 
Ogopa sana kutumia bunduki na vifaru Ili raia wakutii na kuwanyamazisha. Uzuri alinga'ang'ania mwenyewe kupenda asikopendwa sasa acha apambane na yatokanayo. Raia wanaishi lakini wanajua fika kuna ombwe la mamlaka
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…