kabisa mkuu!Mama yupo very strategic kuliko anavyoonekana. Anawajua wabongo wengi wanaangalia kurasa ya juu kabisa sio wazuri kusoma kilichoandikwa kurasa za ndani.
Gwaji Boy oyeeeee
Vipi sasa kuhusu hiyo hasara?? Yaani kwa kila pesa iliyozidi rate ya makubaliano; unakuta inafika hta billion kadhaa kwa mwaka!!Sawa kwa kesi ya kulipa kwa fedha za nje pengine unaambiwa tuu acha na wanaacha
Hivyo vituo vimejengwa wapi na wapi?
😲😲🤣🤣kweli vizuri tu tusisikilize ahadi hewa Tusubiri vijengwe tuonyeshwe vile pale viko tayari vimejengwa ndio tutoe pongezi
1. Huduma za jamii zitaboreshwa
2. Ajira mpya serikalini zitaongezeka
3. Mzunguko wa fedha utarejeshwa kwa wananchi kupitia mishahara/ ujenzi wenyewe / ajira / vibarua na manunuzi.
4. Kutanuka kwa huduma za ziada usafirishaji / fedha (Banking / mobile money services)
Uzuri Tozo hizi hazipelekwi kujenga madarasa Sudani Kusini ni humuhumu nchini.
Hapa kuna dalili za upikaji data maana wanajua watanzania wengi sio wafatiliajiMkuu hawa maccm ni waongo sana. Kumbuka uongo wa dhalimu kwamba alijenga viwanda zaidi ya 4,000. Ukiwauliza vimejengwa wapi na vimeajiri Watanzania wangapi wanang’aa macho.
Mmeanza 🤣Nampenda sana Mama Samia,
Hafokifoki hovyo, cheki jana alivyodeal na Gwaji Boy,
Samia ni Mama kama Mama,
#Samia4presidency2025
Na Hilo gaidi walipige mvua maisha ili awe rais wa mfano duniani.Huyu Mama anapingo sana, Kama atakuwa makini wasimpige basi huenda akawa Rais wa mfano duniani,
2025 tunakula kwa Lissu tunalala kwa Mama,
Technically mambo mengine huwa yanakuwa influenced na mambo ya chama ,unakuta hizo pesa zinapelekwa kusaidia chama kinyume na utaratibu ndio maana unakuta huwezi ku msite mtu mmja,ni kama ile ksmpuni ya kuweka pigment kwenye mafuta.Vipi sasa kuhusu hiyo hasara?? Yaani kwa kila pesa iliyozidi rate ya makubaliano; unakuta inafika hta billion kadhaa kwa mwaka!!
Tuseme tu ukweli pesa zinaliwa kimtandao ndio maana wanalindana kuanzia hazina mpaka halmashauri ukizingatia hao hao pia wapo kwenye chama so inakua ngumu kuwashughulikia ila sijui Kusema CAG report sio conclusive ni kukimbia tu ukweli sote tunaoufahamu
Sawa ila kwa mda gani? Kumbuka hospital zote hazijaanza na ushahidi ninao so Rais ana mzigo wa kuzimalizia na zianze huduma na kujenga mpya.Mbona alichokisema mtoa mada na kilichopo ktk attachment yake ni vitu viwili tofauti?au mtoa mada hajui kusoma vzuri?
Ukurasa wa 24...8783-7014 = 1769 in total.
Ufanauzi Ukurasa wa 23...
Zahanati = 1198,
Vituo vya afya = 487
Hospitali za Wilaya = 71
Hospitali za Mikoa = 10
Hospitali za rufaa = 3
TOTAL = 1769
Mnyonge mnyongeni ila haki yake mpeni