Hayati Magufuli alikuwa na utashi lakini alikosa uwezo

Hahahaa uwe unajua unaongea na watu gani...hiv unadhani woote hatuna akili kama wewe..shule ya msingi umesoma mpaka la ngapi jomba..embu nenda mtaani uka test theory yako..upate findings za kutosha na conclusion..halaf uje na uharo wako
 
Nina masters ya uchumi dogo nimeshafanya utafiti kila kitu
 
Nina masters ya uchumi dogo nimeshafanya utafiti kila kitu
Labda utafiti wa chumbani kwako...nenda ka test uchumi wako Sasa mtaani...msitafute fursa kwa kupandia mgongoni mwa marehem..hamtafanikiwa kamwe..
 
Labda utafiti wa chumbani kwako...nenda ka test uchumi wako Sasa mtaani...msitafute fursa kwa kupandia mgongoni mwa marehem..hamtafanikiwa kamwe..
Yule anapendendwa na mbulula tu mtaani hasa wale waliokuwa na wivu kwamba flani aje afanane na sisi baada ya kutumbuliwa
 
Yule anapendendwa na mbulula tu mtaani hasa wale waliokuwa na wivu kwamba flani aje afanane na sisi baada ya kutumbuliwa
Kama wale wa mtaani na ambao ndio wengi wapiga Kura ni mbulula..Basi sawa
 
Nitajie nchi mojawapo ulaya uliyoiona madaktari wakigoma,kama Sio kenya na hapa Tanganyika, kwasababu ya ufisadi.
Ulaya daktari analipwa kuanzia milioni 200 na kwenda juu zaidi mpaka bilioni 1 kwa mwaka inategemea na specializations kwa hiyo hana haja kugoma kwani fani ya udaktari haiendeshwi kisiasa huku ulaya ni demand and supply and how good you are and how much you are needed and how useful you are to the society you live in
 
Utaletewa bili ya kodi ya million 300 na wewe mapato yako hayafiki milioni 100 huo uzalendo utautaftia wapi?
Machine si huwa inarekodi matumizi yangu mkuu na ikitokea kinyume na ninavyolipa siku zote, kesi inaanzia hapo mkuu
 
Kama wale wa mtaani na ambao ndio wengi wapiga Kura ni mbulula..Basi sawa
Kinachowasbua ni kukosa shule tu hakuna mwenye shule yake alikuwa anampenda jpm. Waliokuwa wanampenda ni akina sabaya na makonda na wanaofanana na Hao na unakumbuka akina makonda hata form four tu hana
 
Alikua mzuri, tatizo roho ya kwanini tu,, mfano aligoma kuendeleza miradi ya mtangulizi wake mfani gesi mtwara, bandari bagamoyo, etc kwa kuhisi tu JK ndo atasifiwa,, na akaamua kufanya miradi yake, ambayo Rais aliefuata angekuwa na roho ya kwanini nae angeiacha ili afanye ya kwake,,
 
Machine si huwa inarekodi matumizi yangu mkuu na ikitokea kinyume na ninavyolipa siku zote, kesi inaanzia hapo mkuu
Wanasema lipa kwanza alafu kesi baadae hivi wewe umeshawahi kulipa kodi Tanzania kama mfanyabiashara au unazungumzia hadithi??
 
Kinachowasbua ni kukosa shule tu hakuna mwenye shule yake alikuwa anampenda jpm. Waliokuwa wanampenda ni akina sabaya na makonda na wanaofanana na Hao na unakumbuka akina makonda hata form four tu hana
Nimekwambia nenda ka test uchumi wako unaousema mitaani..utapata jibu...muulize Lissu yaliyompata
 
Enzi za jk. Mi kwa Sasa naweza jiajiri kwa sababu Nina ajira na imenipatia kipato. Lakini enzi jpm hakukuwa na jaira kabisa ikawa ni vilio kwa wasomi. Sisi kipindi Cha jk hatukukutana na dhahama hiyo kabisaa
"jaira" [emoji2960]
 
jk [emoji777]

Mh. JK [emoji736]
 
Unasahau kwamba wote hao ni Serikali ya ccm..na maamuzi yao yanafanywa na central committee...hahahaha....wewe lengo lako ni kuwatenganisha kwa sifa..sijui utawezaje...the ultimate goal ya ccm ni kuendelea kutawala na kushika hatam ya uongozi milele.. upo hapo..!!! Sasa wewe hatukuelewi lengo lako
 
Kweli kabisa Magufuli ndio maana walimwita Bulldozer (tingatinga), na ndivyo alivyokuwa. Hakuwahi kustahili kuwa rais wa nchi hata siku moja! Alitakiwa awe chini ya mtu siku zote kama yalivyo matingatinga popote pale.

Kumbuka maisha Huwa hayasimami kupisha miradi. Huwezi kusema ngoja watu wafe kwanza ili baadae wafafuke wakute miradi IPO. Huo ni ufinyu wa akili
 
Mimi nakupa fact, angalia mtiririko wa viongozi, hawa,, kambarage nae alikuja akataifisha mali za watu akitaka umiliki sawa wa mapato, wakati ilitakiwa kiuchumi wawepo matajiri ili waweze kutoa ajira kwa wengine,, yeye akasema njia kuu za uchumi lazima zimilikiwe na umma,, matokeo yake watu wakafirisi mashirika ya umma na uchumi wa nchi ukastuck,,
Jpm nae alikuwa na kauli kuwa lazima serikali ifanye miradi mikubwa na pesa ziko nyingi tu kwa watu na zitapatikana, 😂,akaanza kushika mali za matajiri ambazo walizinunua kipindi cha Privatisation cha mkapa, mfano kama ulinunua mfano kiwanda cha ngozi na kiwe kimesimama, anakichukua.
Account bank zikaanza kutembelewa pia,matokeo yake,wawekezaji wakakosa confidence na kuanza kupepea,
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…