Hayati Magufuli aliwezaje watoto wake kutojulikana kabisa hadi siku ya msiba?

Hayati Magufuli aliwezaje watoto wake kutojulikana kabisa hadi siku ya msiba?

Hapa kwa upande mmoja umeongea kwa jaziba isiyo na uhalisia wa furaha ya moyo wako

Kwa sababu unajua fika kwamba, hakuna mshindi na mjanja wa kifo!

..kama hakuna mshindi na mjanja wa kifo kwanini Jiwe alituma watu wamuue Lissu?

..Ccm ndio wanaoleta shida ktk nchi yetu kwa kutumia mabavu ya dola dhidi ya vyama vya upinzani.
 
Acha maneno ya kusikia...Familia yao walikwepo John (mh Rais..RIP), Magufuli wa Utumishi kabla alikuwa anafundisha Chuo cha maendeleo ya jamii Buhare Musoma, Gokan (Goro..mfanyabiashara), Dada yao marehemu ( unakumbuka msiba wa Dada wa Rais Magufuli aliefiwa Bugando), wa mwisho tunamwita Shangazi yupo Chato hadi sasa.

Mama yake Doto yupo hai na yupo Chato hapa tunapina nae stori kila leo.
Wewe elewa kuwa Doto na Magufuli hawana vinasaba.
Mimi sijasikia kwamba kaaga dunia, wewe unasema unapiga naye stori tukuamini wewe, hata aliyenambia James ni ndugu wa magufuli alisema wanapiga stori vizuri na D James, aidha kwani kusema dada kwani laxima awe wa damu? Mimi nimesomeshwa na anko ambaye ni binamu ya mama yangu! Ukifuatilia gazeti la Rai limeandika hizi habari tangu Hayati awe waziri.
 
ni moja ya dalili kuu ya uongozi mbaya, mana ni uthibitisho wa kwanza wa kukosa nidhamu ya uongozi.
Kwa hiyo Sasa mnataka nikiwa raisi wanangu wakakae Kigamboni Kweli?sio kweli wataishi hapohapo ikulu😁😁😁
 
Kwa hiyo Sasa mnataka nikiwa raisi wanangu wakakae Kigamboni Kweli?sio kweli wataishi hapohapo ikulu😁😁😁

watoto wako hawahusiki na uraisi wako. vyeo vya kiserekali ni dhamana ya muda na sio ufalme. waafrika tuna matatizo ya kujihisi ni wafalme tunapopata vyeo vya muda, tena vyengine ni uchwara tu.
 
watoto wako hawahusiki na uraisi wako. vyeo vya kiserekali ni dhamana ya muda na sio ufalme. waafrika tuna matatizo ya kujihisi ni wafalme tunapopata vyeo vya muda, tena vyengine ni uchwara tu.
Kabisa ndugu cheo ni dhamana ameajiriwa mmoja tu sijui tatizo la Hawa ndg zetu wanapoingia ikulu wanakuaje mfano hata mambo ya fast lady na wake zao kufanya biashara ikulu ilianza awamu ya pili baada ya Nyerere kungatuka hatukuwahi kusikia mama maria akiitwa fast lady au kufanya biashara Kwa mgongo wa ikulu
 
Back
Top Bottom