Hayati Mkapa: Makosa yangu yalisababisha mafisadi kujenga ngome ndani ya Chama cha Mapinduzi

Kwa mawazo haya maana yake viongozi watoke sio dunia hii! Mbona kwingine duniani mambo yanaenda vizuri?
 
Usanii mtupu
 
Hata wewe huna unachosimamia
 
Nchi yetu ingekua kama marekani na ulaya ukiondoa russia, wananchi siasa wamewaachia wanasiasa,huku wananchi wanasimama na chama,kwa mfano cdm lisu awaambie hata wale mavi watakula
 
According to Nyerere, maendeleo ya nchi yanahitaji vitu vinne muhimu - ardhi, watu, siasa safi na uongozi bora. Alifeli kwenye hayo mawili ya mwisho!

Alikuwa na group la watu wachache ambao walikuwa wanaona kama wao ndio wenye fikra.

Lile group lilitengeneza scandals ambazo baadae zilisababisha Che kukosa moral authority ya kuwasimamisha wana mtandao.

Wana mtandao walijinadi kama watu watakaombana kuzuia rushwa na kuongeza uwajibikaji...kumbe ni wao ni worse kuliko hata Mzee Che....waongo waongo....chuplichupli nyingi...

And here we are.......
 
Mkuu naomba soft copy ya hicho kitabu. Ahsante.
 
Lakini Mkapa hakujilimbikizia mali hovyo, sema tu alikua kazungukwa na wahuni na aliwaamini bila kuwajua vizuri......madhambi ya awamu ya 5 na 6 yanafanya hata Mkapa aonekane malaika
Sijui umetumia kigezo kipi kudhani Mkapa hakujilimbikizia mali, ikiwa ufisadi ulianzia awamu yake na wewe unakiri hivyo.

Mimi naona tofauti ya Mkapa na hawa mafisadi wa siku hizi ni kelele zao tu, wakati Mkapa alikuwa akila kimya kimya, hawa wa siku hizi wanakula na kipofu kwa kumshika mkono!.
 
Nchi yetu ingekua kama marekani na ulaya ukiondoa russia, wananchi siasa wamewaachia wanasiasa,huku wananchi wanasimama na chama,kwa mfano cdm lisu awaambie hata wale mavi watakula
😛😛Kila chama wanaamini Mwenyekiti wao hakosei , juzi tu CCM wamemtimua Nchimbi ukienda upinzani ni hivyo hivyo , wanamuona mwenyekiti kama Mungu ndiyo chanzo cha kuwepo kwa machawa kila kona .
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…