Hayati Mkapa: Makosa yangu yalisababisha mafisadi kujenga ngome ndani ya Chama cha Mapinduzi


Asante kwa hii taarifa. Na hii kashfa inaweza kuwa ni sehemu tu ya upigaji aliousimamia Mkapa, zipo tusizozijua.
 
Afadhali huyu anajutia makosa yake
 
Nimeipenda hii
 
Kikwete alikuwa Waziri wa mambo ya nje tangu siku ya kwanza ya utawala wa Mkapa mpaka siku ya mwisho ya utawala wake.
Waziri wa madini na Nishati serikali ya awamu ya tatu alikuwa Edgar Maokola Majogo.
Kikwete alikuwa waziri wa Madini awamu ya pili ! 🙏
 
He had an ego, and didnt want to hear any second opinion. He was an elitist.

Nakumbuka Nyerere alisema mtabinafsisha mpaka magereza.

Unategemea nini kama mwenyekiti wa ubinafishaji alikuwa Sir Andy Chande?

Majanga matupu
Na Sir Andy kwenye kitabu chake suala la utaifishaji alimwambia Nyerere historia itakuhukumu
Naona aliamua kumuonesha kupitia Mkapa
 
Sir Andy Chande na BWM walikua "brothers" kwenye ile taasisi ya siri.

Ndio maana hakuwa in control na ubinafishaji? It is sad. Mbona ubinafishaji umegeuza viwanda vingi vya enzi za Nyerere kuwa magodown?
 
Na Sir Andy kwenye kitabu chake suala la utaifishaji alimwambia Nyerere historia itakuhukumu
Naona aliamua kumuonesha kupitia Mkapa

Yeye aliyemuonyesha Nyerere amepata nini? Kaacha vyote nyuma. Tena bila mrithi wa damu
 
Yeye aliyemuonyesha Nyerere amepata nini? Kaacha vyote nyuma. Tena bila mrithi wa damu
Hapo sasa
Na sijui ilikuaje baada ya utaifishaji Nyerere akamfanya Chande kuwa mwenyekiti wa bodi kwenye mashirika yote ya umma baadae tena kawa mwenyekiti wa ubinafsishaji chini ya Mkapa
 
Hapo sasa
Na sijui ilikuaje baada ya utaifishaji Nyerere akamfanya Chande kuwa mwenyekiti wa bodi kwenye mashirika yote ya umma baadae tena kawa mwenyekiti wa ubinafsishaji chini ya Mkapa

Chande alikuwa intelligent sana. Ila kama kawaida ya hao waumuni, wote ni wanafaki wazuri sana, na wanaishi kwa double standards.

Na wengi wanapenda sana vita na shari, ingawa wanajifanya ni wapenda amani. Inaelekea alikuwa anajipanga kufanya jambo muda muafaka ukiwadia
 
Sio intelligent tuu pia alikuwa na connection za hatari
Kiwanda chake kime taifishwa Nyerere ana muambia chagua nikupe kazi gani UN au popote jamaa aka muambia sihitaji chochote zaidi ya kusimamia biashara zangu 😄
 
China, UAE,saudia, Qatar nk hawana demokrasia na wako mbali,mmekosoa tangu 1992 vyama vingi viliporudi,ukosoaji umefanikisha nini?
 
China, UAE,saudia, Qatar nk hawana demokrasia na wako mbali,mmekosoa tangu 1992 vyama vingi viliporudi,ukosoaji umefanikisha nini?
Kusema lolote ni haki ya msingi ya asili ya binadamu.
Haki hiyo haijali imeongeza au kupunguza
chochote
 
Balozi Amy M!!??
 
Alijitahidi sana
 
Alijitahidi sana
Naelewa unacholenga kwa hayo maneno (alijitahidi sana); lakini bila ya kujuwa kujitahidi huko ndiko kumewafunza hawa waovu njia zote wanazotumia sasa hivi kutukandamiza.
Sioni jitihada za maana hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…