Hebu tusemezane: Ulianza kazi mwaka gani na mshahara wako wa kwanza ulikuwa kiasi gani?

Ila wamama single wa kumwaga. Hao mabinti wa kitasha watakuua bure... komaa na mimama ya Kispanyola na kimeksikana ipo ya kumwaga [emoji28][emoji1487][emoji1474]
Hiyo sekta Sipo kabisa labda umenifananisha maana mimi nina wake 3 na wajukuu naozesha sasa

Huo mda wa kuangalia vimama naupata wapi?

Sio mimi huyo unaemjua labda
Mimi ninaenda holidays kutalii tu na kupumzika kula nyama choma na kujifunza culture za wenzetu

Nashukuru nimetembea nchi nyingi sana
 
Nimejikuta nawaza tu....

Binafsi ajira yangu ya kwanza ilikua mwaka 2000, na mshahara wangu ulikua 115,000Tsh.

Nakumbuka nilikua nimemzidi babayangu mshahara na alishangaa sana.
Nilianza na mshahara 1.2 million... ndani ya miezi sita nikapiga tukio la zaidi 40 million... nikadakwa nikawekwa ndani.. wakanitoa baada ya siku tatu nikarudishwa kazini... nikafanya miezi mitatu nikaacha kazi mwenyewe.... paka sasa hivi mshahara wangu ni NIL sifuriii
 
Nifungulie pm nina salamu zako huko[emoji12]
 
Niliajiriwa mwaka 99 kama bodyguard wa mkuu wa mkoa mshahara wangu ulikua 1,000,000 na nilimzidi mshahara baba yangu alisgangaa sana.
 
Ajira yangu ya kwanza...ilikuwa kwenye mradi wa mwendo Kasi kipindi unaanza, nikiwa mlinzi {china Tanzania security} mshahala ulikuwa 150,000/=...baadae nikaamia Gardaworld ambako MSHAHARA nilikuta wanalipa 250,000/=
Miezi ya hivi karibuni nikaamia insight ambako walikuwa wanalipa 370,000/= baada ya kuona kuendesha pikipiki kunalipa Zaidi niliamua kuacha kazi hiyo ya mwisho...nikajiajili kama dereva wa pikipiki a.k.a boda boda😀😀😀😀
Kwasasa natengeneza Zaidi ya 600k za kitanzania...
 
2009 Niliajiriwa posta mshahara ulikuwa ni Elfu 70 (elimu nilikuwa nimemaliza kidato cha nne shemeji yangu akanipigia pande hapo)

2017 nikapata ajira rasmi mashahara nilianza na 1.6 milioni
Plus over time 40K per day
Housing laki 2 na busy
Transport laki na nusu
N.K
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…