Black Sniper
JF-Expert Member
- Dec 10, 2013
- 32,406
- 55,148
Hiyo sekta Sipo kabisa labda umenifananisha maana mimi nina wake 3 na wajukuu naozesha sasaIla wamama single wa kumwaga. Hao mabinti wa kitasha watakuua bure... komaa na mimama ya Kispanyola na kimeksikana ipo ya kumwaga [emoji28][emoji1487][emoji1474]
Huo mda wa kuangalia vimama naupata wapi?
Sio mimi huyo unaemjua labda
Mimi ninaenda holidays kutalii tu na kupumzika kula nyama choma na kujifunza culture za wenzetu
Nashukuru nimetembea nchi nyingi sana