Raymanu KE
JF-Expert Member
- Jan 20, 2022
- 10,644
- 20,009
- Thread starter
-
- #61
Jamaa umeona mbali Sana😅Huyu jamaa alie upande wa kulia amekaa mguu nje,mguu ndani.
Serekali haitabiriki.
Thanks bro.
Motoo 🔥.Thanks bro.
You have been the best!
Naona Taifa gesi inataka kulipuka 😁.Usiogope, nitakulinda mrembo wangu, zaidi ya mimi hakuna mtu mwingine atakayekukaza!
Yep!😂😂😂 roger that!! Raymanu KE
Uyo leo dada huwa anaandikaga thread? Naonaga like zake tuMin-me
leo dada
secretarybrid
mjanja m1
dosho....?
Shusha vitu vyako vijana wapone mama🫶🏽🫶🏽🙏🏽
Una uhakika hao vijana siyo wewe 😂🤣Shusha vitu vyako vijana wapone mama
Kuna comments ambazo huwa hau-like? Maana mimi nikisoma comments kwenye post yoyote nisipoona likes zako najua bado haujapitaSiweki reaction yoyote bila kusoma kwanza
Mzee uko na standard za juu Sana😂Comments za chitchat naweza kulike bila sababu za msingi, ila majukwaa mengine hadi nione kilichomo.
Yani mimi niendeshwe na maneno matupu tu? Maneno matupu hayavunji mfupa🤗Una uhakika hao vijana siyo wewe 😂🤣
Hata Mimi nilitaka kumuuliza hivyo, kuna yule mwingine anaitwa raraa reree mzee wa kumwaga likes sijui ckuiz alipotelea wapiKuna comments ambazo huwa hau-like? Maana mimi nikisoma comments kwenye post yoyote nisipoona likes zako najua bado haujapita
Ninazo fanya hivyo zote nina soma , nitalike vip bila kusoma? Mimi ni mwehu kwani?Kuna comments ambazo huwa hau-like? Maana mimi nikisoma comments kwenye post yoyote nisipoona likes zako najua bado haujapita
Yani mimi niendeshwe na maneno matupu tu? Maneno matupu hayavunji mfupa🤗