PreGE2025 Heche: Polisi wamezingira nyumbani kwangu na kwa Tundu Lissu

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
The last kick of a dying horse.
 
BREAKING: Jeshi la Polisi limeizingira nyumba ya Mwenyekiti wa Chadema tangu saa sita usiku. Lengo ni kuingia na kusachi nyumba yake. Mpaka sasa waliomo ndani wamegoma kuwaruhusu polisi kuingia.
majambazi ya ccm genge la wahuni wanataka kumbambikizia madawa ya kulevya
 
Maajabu

Halafu hao waliomo ndani ni kina hao hadi wagome kutii ? Wana nini humo ndani?
Subiri wakili wa chama afike mtasachi na mashahidi. Hapo wakianza kusachiwa polisi hawatakosa madawa ya kulevya na bangi pia
 
Yaani mimi nakenue mpaka gego la mwisho halafu nimeweka kijiti natoa vinyama kwenye meno hahahah. Mlishangilia kifo cha Dkt Magufuli hahahah. Tuliwaambia muomboleze maana aliyeondoka ni mmoja tu wengine wapo hahaha
Kwahiyo unashangilia mwendelezo wa udikteta, you're doomed.
 
Chadema do not know how to deal with savages,

Heche has big mouth
Heche hana kaba anatoa Siri nini watafanya kesho yake
Anachofanya Heche yupo sawa anachotaka yeye ni kuhamasisha wananchi kujitokeza kwenda mahakaman, unadhan anaweza kuhamasisha kwa siri anahamasishaje?
 
Hawa wezi hawataki kuachia madaraka kistaarabu, tusali na kufunga Mungu aingilie kati
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…