SAGAI GALGANO
JF-Expert Member
- Nov 13, 2009
- 50,104
- 75,552
Hao ni majambazi wanaovaa uniformNdio maana nasema tuna POLISI wapumbavu, ni POLISI wana SIASA, Ni POLISI wasio na weredi wanaoangalia matumbo yao. Heche ana tatizo gani kwenda mahakamani? Hivi JESHI lipo kweli? Linaona huu upumbavu na liko kimya?
Makamu mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa nyumba yake imezingirwa na polisi wakiwa na gari nne. Anaandika;
"Nimezingirwa nyumbani kwangu tangu saa 10 alfajiri ya leo. Askari wakiwa na magari manne wako kwenye milango ya kuingilia."
View attachment 3318341
Hapo awali Heche alieleza pia kuwa polisi wamezingira nyumbani kwa Tundu Lissu ambapo walikuwa wakitaka kuingia ndani lakini ndugu waliwazuia. Heche anaandika;
"Tangu saa sita usiku polisi wamezingira Nyumbani kwa mhe Lissu, wamejaribu kutaka kuingia ndani, lakini ndugu wamewambia kama wanataka kufanya ukaguzi lazima mwenye nyumba awepo."
View attachment 3318343
Soma pia: Wakili Jebra Kambole ahoji kitendo cha polisi kutaka kwenda kupekua nyumbani kwa Lissu bila amri ya mahakama
Wafuate utaratibu wa kupekua nyumba na mwwnye nyumba akiwepo. Unaenda tu kupekua nyumba? Wamesahau PGO zao?wanazuisha jeshi kutimiza majukumu yske
Mwenyewe alikua na Laana angeachaje Laana sasa? Btw wewe ulishawahi kuiona Laana kwa macho Yako na ukaitambua?Laana ya JPM haiwezi kuwaacha salama. Lazima wavune walichopanda.
Dj kweli mtu mbaya sana alimchonganisha Jiwe na Marehemu aliyekuwa anafuatilia PhD Mbowe alikuwa anamfadhili kijana yuleDikteta Sami na Dj Mbowe kwenye 1 na 2
Kuhamasisha ni vizuri ila siyo kuweka ufafanuzi wenye mgangano wa kimasilahi hata hivyo viongozi wa kitaifa inatakiwa watunze na kuzichunga kauli zaoAnachofanya Heche yupo sawa anachotaka yeye ni kuhamasisha wananchi kujitokeza kwenda mahakaman, unadhan anaweza kuhamasisha kwa siri anahamasishaje?
Mfano mtu yuko ulaya lazima awepo?Wafuate utaratibu wa kupekua nyumba na mwwnye nyumba akiwepo. Unaenda tu kupekua nyumba? Wamesahau PGO zao?
Vilaza kabisa na hii mvua inayonyesha usiku kuchwa unakesha kwenye geti na mwanaume mwenzio unamuacha mkeoTangu saa sita usiku polisi wamezingira Nyumbani kwa mhe Lissu, wamejaribu kutaka kuingia ndani, lakini ndugu wamewambia kama wanataka kufanya ukaguzi lazima mwenye nyumba awepo.
#John Heche.
Nimezingirwa nyumbani kwangu tangu saa 10 alfajiri ya leo.
Askari wakiwa na magari manne wako kwenye milango ya kuingilia.
#John Heche.
Sawa. Mimi bado nipo kwa Moses Mabhida Stadium Durban Africa Kusini tukipanga safari ya kurudi nyumbani kibabe baada kukamilisha kazi kazini. Nikirudi nitalifuatilia hilo suala lakoMakamu mwenyekiti wa chama cha demokrasia na maendeleo (CHADEMA) ameandika kupitia ukurasa wake wa X kuwa nyumba yake imezingirwa na polisi wakiwa na gari nne. Anaandika;
"Nimezingirwa nyumbani kwangu tangu saa 10 alfajiri ya leo. Askari wakiwa na magari manne wako kwenye milango ya kuingilia."
View attachment 3318341
Hapo awali Heche alieleza pia kuwa polisi wamezingira nyumbani kwa Tundu Lissu ambapo walikuwa wakitaka kuingia ndani lakini ndugu waliwazuia. Heche anaandika;
"Tangu saa sita usiku polisi wamezingira Nyumbani kwa mhe Lissu, wamejaribu kutaka kuingia ndani, lakini ndugu wamewambia kama wanataka kufanya ukaguzi lazima mwenye nyumba awepo."
View attachment 3318343
Soma pia: Wakili Jebra Kambole ahoji kitendo cha polisi kutaka kwenda kupekua nyumbani kwa Lissu bila amri ya mahakama
Unajua taratibu za kufanya upekuzi?Mfano mtu yuko ulaya lazima awepo?
Swali chechefuKazingirwa na maji au?
DJ ni sisiemu damu.Dj kweli mtu mbaya sana alimchonganisha Jiwe na Marehemu aliyekuwa anafuatilia PhD Mbowe alikuwa anamfadhili kijana yule
Kumbe yote Yale Mbowe ni project!!
MUNGU atajibu!!