Mnafiki Wa Kujitegemea
JF-Expert Member
- Dec 30, 2022
- 4,878
- 8,063
Haya depe tupu tuambie kakutwa hatiani?Kumbe na wewe ni hamnazo. Serikali imesema kuna magaidi. Na muhadhiri kakamatwa kwa kesi ya ugaidi. Wewe unataka ushahidi gani zaidi?
Unaweza kuwa unalingana hata na baba yangu kiumri achilia mbali mjomba ila point na hoja zako zikawa kama mtoto wa afu mbili na hapa tunasoma hoja na Si umri. Umesikia dogo?Umaweza kuta nalingana na mjomba wako umri unaniita dogo
Haya keyboard warrior tumekusikia
Ugaidi wa alishabab ni tofauti na wanaofanya akina tundu lissu!!Heche yeye hataki kuona maafa viwanjani wakati wa AFCON maana magaidi hawachelewi kujitoa mhanga kwa mabomu.
Wewe uko tayari kwenda uwanjani huku ukijua kabisa muda wowote magaidi wanaweza kufanya tukio?
Ugaidi na uhaini ni vitu viwili tofauti kaka!!Mkuu kwani kosa lake ni lipi? Huoni kama serikali ndio inatangaza kuwa kuna magaidi tena wengine ni wakufunzi wa chuo Kikuu cha Dodoma?
Kesi imeisha au unaandika tu kama headless chickenHaya depe tupu tuambie kakutwa hatiani?
Hatutaki afcon sisi nchi hiiHivi ni kweli Heche hajui kwamba AFCON ikifanyika TZ wanufaika wakubwa ni vijana wa CHADEMA walioko Arusha ambako ni ngome ya CDM!?
Wote hao ni walewaleUgaidi wa alishabab ni tofauti na wanaofanya akina tundu lissu!!
CCM na CHADEMA kaeni mezani muyajenge mapungufu yenu tunayajua muda utaongea wananchi tukipata KATIBA MPYA.Inaelekea Hauna Akili timamu wewe unaweza Afcon tu hujui kwamba Serikali kuu inapotamka kwamba Kuna ugaidi Kuna Nchi kibao zitaacha kuleta watu wao Nchini cause Tayari serikali imesha tangaza Hali ya uvunjifu wa usalama
Huoni kuwa Kuna wawekezaji kibao wataondoka Kwa kuogopa tishio la usalama wa mali zao na family zao na hata wale ambao walikuwa wanataka kuja kuwekeza watashindwa kuja cause hakuna ambaye anayetaka kuwekeza billions of money kwenye Nchi ambayo Haina usalama umeshawahi kufikiria hayo hata kidogo !?
Je endapo hao investors wakiondoka na wengine wakishindwa kuja kutokana na taarifa waliyoipata ya uwepo wa magaidi nchini hauoni kwamba Kuna ajira kibao zitatoweka na vijana wengi watarudi mitaani wakiwa hawana ajira !?
MBAYA ZAIDI WANATAKA KUJICHOMA KWA KUJIDHIHIRISHA KWAMBA WAO NI MAGAIDI NA MABEBERU. KITENDO CHA KUANDIKA BARUA HIY6 HALI KESI YA UGAIDI INAWAKABILI. PILI KITENDO CHA KULINDA UHAI WA WAGENI KUTOKA NJE..NANYIE CCM YAKWENU TUNAJUA KAENI MEZA MOJA MUYAJENGE.Hadi sasa serikali yetu imara chini ya mtukufu SAMIA imekamata magaidi zaidi ya 50 na wapo magerezani hadi sasa .
Vipi kuhusu usalama wa wanamichezo na wageni?maana tayari serikali inatuambia kuna matukio ya ugaidi na magaidi nchiniMpira na siasa zenu wapi na wapi, upumbavu huu mnataka kutuletea
Unanufaika vipi na matishio ya ugaidi haya?Hivi ni kweli Heche hajui kwamba AFCON ikifanyika TZ wanufaika wakubwa ni vijana wa CHADEMA walioko Arusha ambako ni ngome ya CDM!?
HAMUONI KAMA MNAMCHOMA MWENYEKITI WENU? HALAFU SERIKALI MNAYOSEMA NI HARAMU NA IMEJIPACHIKA JE IWEJE LEO MKUBALIANE NAYO KIUSALAMA? MNATUCHEZEA AKILI ZETU. CCM na CHADEMA Kaeni mezani muyajenge tulisogeze taifa mbele.Vipi kuhusu usalama wa wanamichezo na wageni?maana tayari serikali inatuambia kuna matukio ya ugaidi na magaidi nchini
Mtakiwasha nyuma ya keyboardHatutaki afcon sisi nchi hii
Nakwambia haitafanyika
Tutakiwasha
Unaandika kama umekatwa kichwa kaka, vipi kuhusu familia za watu waliokufa, wanaobambikiwa kesi za ugaidi? Kwanini usifanye vitu fair ili kuleta umoja wa amani.HIVI UNAPOANDIKA UPUUZI WA KUWAAMBIA FIFA NA CAF IWAAPO WAKACHULIA SERIOUS HUONI MTAKUWA MMEWANYIMA WANANCHI FULSA YA KIBIASHARA NA HUKU MKIFURAHIA SERIKALI KUKOSA MAPATO? HALAFU MNAJIVIKA KILEMBA CHA UZALENDO NA KUWATUMIKIA WANANCHI?
Hizo kelele za chura tu. Hili litasahaulika very soonWewe mbona unajali kipato kuliko usalama wa raia kwanza !? Kwahiyo unataka Afcon ifanyike halafu likitokea la ugaidi watu wakafa hicho kipato kitakuwa na manufaa yapi !?
Mbona umekosa uzalendo na Nchi Yako !? Serikali imeshasema Kuna ugaidi so wewe unayepinga ni nani !?
ππππ
Heche ashikirie hapo hapo hii kete aliyoisukuma inaitwa king kwenye draft π
Watu kushikiliwa kwa tuhuma za ugaidi haijaanza kwa Samia.Muwe mnafanya utafiti badala ya kuja kukenua tu humu