Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Cdm haihitaji matajiri wauza unga na wakwepa kodi. Hao matajiri wanajufanya wako ccm ili kulinda Mali zao, lakini hawautaki huo uchafu uitwao ccm kabisa.
 
Wananchi pambaneni mpate Katiba mpya.
 
unadhani hao FIFA na CAF hawana mabalozi? CHADEMA kuna mambo mnachemka japo na CCM inamakosa yake..Hebu kaeni Mezani muyamalize..KATIBA IJAYO SISI WANANCHI HATUTAVUMILIA HUU UPUUZI MAANA MAMLAKA YOTE TUTAKUWA NAYO.
Ni wapi cdm wameanza huo upuuzi? Yaani cdm wakae kama mabwege tu wakati wafuasi wake wanaumizwa?
 
Waambie serekali iache uonevu wa kitoto, wajinga wameshaamka.
 
Mpira na siasa zenu wapi na wapi, upumbavu huu mnataka kutuletea

..mpira ndio umekuwa upumbavu hapa Tz.

..badala ya kujenga maviwanja ya bei ghali kwa ajili ya afcon ni afadhali wangejenga hospitali, vyuo vya ufundi, na miradi ya umwagiliaji.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…