Watu kushikiliwa kwa tuhuma za ugaidi haijaanza kwa Samia.
Mashekh wa Uamsho walisota kwa zaidi ya miaka 8 na wengine miaka mitatu na zaidi
Iweje leo Heche akubaliane na kauli ya serikali ambayo CHADEMA wanadai ni serikali haramu..pili iweje leo Heche atoe ushirikiano kwa serikali kuhusu Ugaidi hali yakuwa anajua kunawenzie wanakesi hizo? Je, Tukisema ni kuwachoma wenzie tutakuwa tumekosea..Halafu akiandika hiyo barua kwahyo anathamini uhai wa wageni zaidi? Mwambieni asifanye hivo. CCM na CHADEMA kaeni mezani muyajenge kabla ya KATIBA MPYA.Katiba ambayo itawapa nguvu wananchi ya kuamua. Sahivi CHADEMA Na CCM tungekuwa tumeshavisimamisha kupisha uchunguzi wa kina wa mgogoro wao.kwani yeye si ananukuu tulivyoambiwa watanzania kuwa Kuna matishio ya usalama na mikusanyiko imepigwa marufuku na magaidi washaanza kushikwa sasa kwa akili yako unaona ni jambo dogo?
poa mwarobaini wa yote haya ni KATIBA MPYA.Hakuna wajinga wa kudumu. Ccm na cdm wameshakaa sana mezani, ila ccm wakitakiwa wasaini makubaliano wanagoma. Enough is enough.
Iweje leo Heche akubaliane na kauli ya serikali ambayo CHADEMA wanadai ni serikali haramu..pili iweje leo Heche atoe ushirikiano kwa serikali kuhusu Ugaidi hali yakuwa anajua kunawenzie wanakesi hizo? Je, Tukisema ni kuwachoma wenzie tutakuwa tumekosea..Halafu akiandika hiyo barua kwahyo anathamini uhai wa wageni zaidi? Mwambieni asifanye hivo. CCM na CHADEMA kaeni mezani muyajenge kabla ya KATIBA MPYA.Katiba ambayo itawapa nguvu wananchi ya kuamua. Sahivi CHADEMA Na CCM tungekuwa tumeshavisimamisha kupisha uchunguzi wa kina wa mgogoro wao.
CCM na CDM kaeni mezani kabla ya KATIBA MPYA.Ni wapi cdm wameanza huo upuuzi? Yaani cdm wakae kama mabwege tu wakati wafuasi wake wanaumizwa?
Wake zako Heche na Lisu ndio wakweli.Kwahiyo mumeo magufuli alikuwa muongo
Akili hamna nyie na hao ******* wenzenu mnaokaa kushabikia siasa utafikiri huyo heche au lissu akiwa rais atakuto kwenye umasikini wakoChizi ni Yule single Maza wenu wa pale ikulu...Na Kwa taarifa yenu mwambie mamayenu tunaandaa petitions nyingi Sana za kupinga Afcon isifanyike Tanzania
Mimi sio chawa wa mtuWake zako Heche na Lisu ndio wakweli.
Kaeni mezani CCM na CHADEMA halafu tuone kama hayo yataendelea vingnevo KATIBA MPYA itakuta kuamua...Mnapaswa kuishinikiza serikali iachane na ujinga wa kuteka, kubambika makesi, na kupoteza wakosoaji.
..serikali ikikomesha ujinga huo watu kama Heche watakosa hoja za kuishtakia ktk vyombo vya kimataifa.
Kopa Akili Kwa jirani!Iweje leo Heche akubaliane na kauli ya serikali ambayo CHADEMA wanadai ni serikali haramu..pili iweje leo Heche atoe ushirikiano kwa serikali kuhusu Ugaidi hali yakuwa anajua kunawenzie wanakesi hizo? Je, Tukisema ni kuwachoma wenzie tutakuwa tumekosea..Halafu akiandika hiyo barua kwahyo anathamini uhai wa wageni zaidi? Mwambieni asifanye hivo. CCM na CHADEMA kaeni mezani muyajenge kabla ya KATIBA MPYA.Katiba ambayo itawapa nguvu wananchi ya kuamua. Sahivi CHADEMA Na CCM tungekuwa tumeshavisimamisha kupisha uchunguzi wa kina wa mgogoro wao.
Kwa kosa lipi hasa mlilokosewa na Taifa lako? Acheni mambo mengine yapite na msiingize siasa katika michezo ndugu zangu.Chizi ni Yule single Maza wenu wa pale ikulu...Na Kwa taarifa yenu mwambie mamayenu tunaandaa petitions nyingi Sana za kupinga Afcon isifanyike Tanzania
CCM na CHADEMA kaeni mezani muyamalize..sawa we mwenye akili umelisaidia taifa vip juu ya huu mzozo?Kop
Kopa Akili Kwa jirani!
Ndio utakapogundua kua siasa ndio kila kitu, siasa ya boli kazini.Mpira na siasa zenu wapi na wapi, upumbavu huu mnataka kutuletea
Uchizi wa kuwa na magaidi au uchizi wa kuwaandikia barua hao watu wa AFCON?Huu sasa ni uchizi