Heche: Tutawaandikia barua FIFA na CAF kuwaeleza Serikali imesema kuna 'Ugaidi' wasilete Watu AFCON

Ngome ya Chadema ni kwenye mioyo ya Watanganyika wote wanaojitambua.
Sawa, kwa hiyo Heche hajui kabisa kuwa ngome y CHADEMA iliyoko kwenye mioyo ya Watanganyika ni kwa kiasi gari itaathirika?
 
Wanaofaidika ni ccm na mipango hiyo na sio chadema wanaokamatwa na kufunguliwa kesi za ugaidi.
Kwa hiyo bodaboda, Mama Lishe, Balaji, nk wanaotarajiwa kujipatia kipato kupitia AFCON wote ni CCM!?
 
Kwa hiyo bodaboda, Mama Lishe, Balaji, nk wanaotarajiwa kujipatia kipato kupitia AFCON wote ni CCM!?
Shida siyo CCM wala CHADEMA lengo ni kulinda uhai wa watu.
Kwa sababu magaidi huwa hawacheki na wowote wakilipua bomu linampata yeyote bila kujali ni bodaboda au nani.
 
Shida siyo CCM wala CHADEMA lengo ni kulinda uhai wa watu.
Kwa sababu magaidi huwa hawacheki na wowote wakilipua bomu linampata yeyote bila kujali ni bodaboda au nani.
Anyway, after all tunajadili jambo la kufikirika. AFCON iko palepale hizi zingine ni kelele za chura tu
 
Please keep distance from politics, wanasiasa wanajuana wenyewe.
Wewe umesoma alichokiandika lakini yeye huenda hana maana hiyo, huenda anamshangaa anayekata tawi alilolikalia mtini, je, atashituka na kujirudi au ndiyo mbele kwa mbele.
Yes tuwepe pembeni siasa. Alichokisema Heche sisi tunakichukulia kama tahadhari ktk uwekezaji wetu Arusha. Mana kwa mitaji hii mara Heche kafanikiwa kuzuia AFCON tutawalipa nini vibarua wetu na tuliowapa tenda ya kuzalisha bidhaa mbalimbali kwa ajili ya AFCON?
 
Kumbe na wewe ni hamnazo. Serikali imesema kuna magaidi. Na muhadhiri kakamatwa kwa kesi ya ugaidi. Wewe unataka ushahidi gani zaidi?
 
Arusha imekuwa ngome ya chadema wakati vcccccm imeshinda viti vyote tangu uchaguzi wa serikali ya mitaa 2019 hadi leo sasa unaitaje ngome ya chadema?una akili timamu wewe?
Unajua fika hakukuwa na uchaguzi na pia wajua fika Arusha ni ktk ngome za CDM. Hivyo kuiondoa AFCON Heche hajui CDM wataathirika zaidi?
 
Heche yuko tayari kuichoma moto nchi yake, sijawahi kuona mkurya chizi kama Heche
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…