Hekalu la Job Ndugai kweli siasa inalipa, nimejiona masikini kweli

Ni vizuri ukiwa na pesa watu wakija wadate, siyo wakija wanatafuta madum yakukalia
 
Vipi hilo hekalu kuna utaratibu wa kuzikwa nalo au litabaki hapahapa duniani?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…