Hekima, busara na nidhamu ya chakula (Table Manners) mbele ya kadamnasi ya wageni

Mkuu, kwa hiyo watu 200 wote wametulia katika viti vyao halafu wewe mmoja ndio unanyanyuka na lisahani lako kwenda kuongeza ubwabwa? Kwani usipoongeza utakufa?

NIDHAMU YA KULA KWA STAHA MBELE YA WATU (KADAMNASI) ni lazima tufundishane.
MIMI SIISHI KWA AJILI YA WATU WATANIONAJE NINA STRATEGY ZANGU BINAFSI
 
MIMI SIISHI KWA AJILI YA WATU WATANIONAJE NINA STRATEGY ZANGU BINAFSI
Ninasisitiza tena kwa mkazo zaidi kwamba mbele ya kadamnasi ni vema mtu kuwa na, discipline...!!!!!! discipline...!!!!!! discipline...!!!!!! discipline...!!!!!! discipline...!!!!!! discipline...!!!!!!
 
nilikuwa na msichana anaitwa Queen. Alikuwa anakula zaidi ya kg tano za kitimoto peke yake na bia 16 castle larger.
Mkuu, kama ni nyumbani mpo peke yenu na si mbele ya kadamnasi, hiyo sio mbaya.

NI MUHIMU SANA MTU KUWA NA NIDHAMU YA KULA KWA STAHA MBELE YA WATU (KADAMNASI)
 
Inategemea, sisi matajiri tukienda Kuongeza tunaambiwa tunakula sana harusini sababu hatuna muda wa kulakula ila mlalahoi ataambiwa mroho, mrafi, anatia hasara.
 
umeandk ripoti ya CAG
 
Kuongeza Chakula kwenye Sherehe sio tatizo kutegemeana kiasi ulichopakua awali
Nitazidi kusisitiza Hekima, busara na nidhamu ya chakula (Table Manners) mbele ya kadamnasi ya wageni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…