Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

 
Kiko wapi 🫣
Just joking πŸ˜…
 
Ni utaratibu wa kishamba, kilofa na kizandiki
 
Classic thread, Henry Kilewo shoulda grabbed the Oscar for his immaculate acting. 10/10 thread.

Henry Kilewo should go to Holywood.
 
Huyu muungwana yuko wapi? πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Kaka Henry kwahiyo ulikuwa unajipigia chapoo
Nchi ngumu sana hii
 
Watu kila siku wanavyaa suti, wao wamekuja na mtazamo mpya, kiukweli ilikuwa ni harusi nzuri sana, kwa Tanzania ni harusi ya kwanza kuwa bila MC bila keki bila ndafu watu tumejifunza kitu mimi nimmoja wao.
Wanaume wa kichaga makanjanja sana πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ™ŒπŸ™Œ
Unajipiga kanzu mwenyewe?!!
Eeh halafu baada ya harusi ya kubana matumizi ikawaje?? 🀣🀣🀣🀣
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…