Django Doer
JF-Expert Member
- Jun 30, 2023
- 2,865
- 5,184
dronedrakeHappy anniversary
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
dronedrakeHappy anniversary
Cha kusikitisha zaidi hapa ni CHADEMA kujihusisha na huyu mtu. Afya yake kichwani ina walakini, his character stinks, na mengineyo mengi. Kina Mbowe waliona nini kwa huyu jamaa hadi kuwa karibu naye?
Watu kila siku wanavyaa suti, wao wamekuja na mtazamo mpya, kiukweli ilikuwa ni harusi nzuri sana, kwa Tanzania ni harusi ya kwanza kuwa bila MC bila keki bila ndafu watu tumejifunza kitu mimi nimmoja wao.
Kila nikisoma hii comment huwa nachekaWatu kila siku wanavyaa suti, wao wamekuja na mtazamo mpya, kiukweli ilikuwa ni harusi nzuri sana, kwa Tanzania ni harusi ya kwanza kuwa bila MC bila keki bila ndafu watu tumejifunza kitu mimi nimmoja wao.
Kiko wapi 🫣Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.
Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
Akabeba mke wa Deo FilikunjombeHahahha...
Alianza DK Slaa kubeba mke wa mtu!
Amefuata huyu dogo!
Soon tutamuona Zitto..
Ni utaratibu wa kishamba, kilofa na kizandikiNdoa ya kikristo ni ya millele wala mtu hawezi kutenganisha. Mahakama inaweza kuachanisha kwa karatasi lakini kwa Mungu bado ndoa ipo. Ndio maana Joyce hajaweza kufunga ndoa tena kanisani, kaenda kufungia bomani, kwa maana kanisa linajua ndoa bado ipo.
🤣🤣🤣🤣Kiko wapi kamanda uchwara?
Huyu muungwana yuko wapi? 😂😂😂Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.
Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
Wanaume wa kichaga makanjanja sana 😂😂😂🙌🙌Watu kila siku wanavyaa suti, wao wamekuja na mtazamo mpya, kiukweli ilikuwa ni harusi nzuri sana, kwa Tanzania ni harusi ya kwanza kuwa bila MC bila keki bila ndafu watu tumejifunza kitu mimi nimmoja wao.
Wanaume wa kichaga mchinjwe xmas 😹😹😹<br />
<br />
Siyo KILEO ni KILEWO ile ya marangu kiukweli kaka yetu anajua kuchagua na mtoto wao tulimuona
Hapo vipi bulaza? 😂😂😂<br />
<br />
Dua la kuku halimpati mwewe