Henry Kilewo na Joyce Kiria wafunga ndoa ya mfano wa kuigwa

Watu kila siku wanavyaa suti, wao wamekuja na mtazamo mpya, kiukweli ilikuwa ni harusi nzuri sana, kwa Tanzania ni harusi ya kwanza kuwa bila MC bila keki bila ndafu watu tumejifunza kitu mimi nimmoja wao.

Kila nikisoma hii comment huwa nacheka
 
Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.

Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
Kiko wapi 🫣
Just joking 😅
 
Ndoa ya kikristo ni ya millele wala mtu hawezi kutenganisha. Mahakama inaweza kuachanisha kwa karatasi lakini kwa Mungu bado ndoa ipo. Ndio maana Joyce hajaweza kufunga ndoa tena kanisani, kaenda kufungia bomani, kwa maana kanisa linajua ndoa bado ipo.
Ni utaratibu wa kishamba, kilofa na kizandiki
 
Classic thread, Henry Kilewo shoulda grabbed the Oscar for his immaculate acting. 10/10 thread.

Henry Kilewo should go to Holywood.
 
Yule katibu wa mkoa wa Kinondoni na katibu wa kuteuliwa wa kanda maalum ya Dar es salaam CHADEMA, Henry Kileo na mwanadada Joyce Kiria ambaye ni mtangazaji wa EATV, siku ya tarehe 4.09.2011 wamefunga ndoa ya mfano wake baada ya bwana harusi na best man wake Godbless Lema kuvaa kombati katika tukio hilo.

Wengi wa washiriki walipongeza sherehe kwa ujumla na kusema wameiga kitu kipya kutoka kwa wawili hao.
Huyu muungwana yuko wapi? 😂😂😂
Kaka Henry kwahiyo ulikuwa unajipigia chapoo
Nchi ngumu sana hii
 
Watu kila siku wanavyaa suti, wao wamekuja na mtazamo mpya, kiukweli ilikuwa ni harusi nzuri sana, kwa Tanzania ni harusi ya kwanza kuwa bila MC bila keki bila ndafu watu tumejifunza kitu mimi nimmoja wao.
Wanaume wa kichaga makanjanja sana 😂😂😂🙌🙌
Unajipiga kanzu mwenyewe?!!
Eeh halafu baada ya harusi ya kubana matumizi ikawaje?? 🤣🤣🤣🤣
 
Back
Top Bottom