Hesbollah hii ndo ile tulio hadithiwa ama tutarajie nyingine?

The branding

Senior Member
Joined
Apr 17, 2022
Posts
186
Reaction score
320
Vilisikika vitisho vingi sana mara ooh, Hesbollah sio gaza, mara ooh kumbuka 2006, n. K.

Tulivyokwenda kwenye uhalisia kumbe hesbollah ni wachumba tuu, na ni mara 100 Hamas.

Hao jamaa yahudi anajipigia mpaka kuna muda unawaonea huruma wanaume wazima na vilemba na midevu wakikaa mashimoni kama panya buku.
 
Technological gape ya Israel na Hezbollah ndio imewapoza vita ya sasa sio ya kuvaa magwanda na kutunishiana misuli , bali uwe umewekeza kwenye high tech na kwenye high tech kwa Israel ndio kama maji na samaki hapo Hezbollah must prepare for the worst,unless otherwise wanyooshe mkono juu mambo yaishe.
 
Wafuasi wa mkosa nyumba akili zenu kama vile ziko njia panda hamjui wapi muende Damascus au Jerusalem, bora mlale chini ya mkunazi mumuote shetani ndio Yesu.

Israel mwambieni atuonyeshe yuko Lebanon leo week tatu ana pokea maiti kugusa ardhi ya Lebanon kashindwa.

Hilo jeshi la Pampers likingia Lebanon ndio tutasema wameisha wacha jinyea. Israel ataishia rusha maboom mwanaume ni yule anapigana vita ya chini face to face.
 
Vilisikika vitisho vingi sana mara ooh, Hesbollah sio gaza, mara ooh kumbuka 2006, n. K.

Tulivyokwenda kwenye uhalisia kumbe hedbollah ni wachumba tuu, na ni mara 100 Hamas.

Hao jamaa yahudi anajipigia mpaka kuna muda unawaonea huruma wanaume wazima na vilemba na midevu wakikaa mashimoni.
Hivi hii ndiyo ilitajwa kuhusika na moja wa wagombea urais wetu hapa nchini mwaka 2005
 
Vilisikika vitisho vingi sana mara ooh, Hesbollah sio gaza, mara ooh kumbuka 2006, n. K.

Tulivyokwenda kwenye uhalisia kumbe hedbollah ni wachumba tuu, na ni mara 100 Hamas.

Hao jamaa yahudi anajipigia mpaka kuna muda unawaonea huruma wanaume wazima na vilemba na midevu wakikaa mashimoni.
Hawa watu ni vichwa maji, hata sasa unasikia wanasema Hamas kashinda vita. Hawa kushindwa vita ni labda wafe waishe.
 
Technological gape ya Israel na Hezbollah ndio imewapoza vita ya sasa sio ya kuvaa magwanda na kutunishiana misuli , bali uwe umewekeza kwenye high tech na kwenye high tech kwa Israel ndio kama maji na samaki hapo Hezbollah must prepare for the worst,unless otherwise wanyooshe mkono juu mambo yaishe.
Upo sahihi kabisa mkuu, hilo pengo la teknolojia na ujasusi ndio limewamaliza Hezbollah.

Israel haiwezi kuiangamiza kabisa Hezbollah ila itaidhoofisha tu kama ilivyofanya kwa Hamas
 
Vilisikika vitisho vingi sana mara ooh, Hesbollah sio gaza, mara ooh kumbuka 2006, n. K.

Tulivyokwenda kwenye uhalisia kumbe hedbollah ni wachumba tuu, na ni mara 100 Hamas.

Hao jamaa yahudi anajipigia mpaka kuna muda unawaonea huruma wanaume wazima na vilemba na midevu wakikaa mashimoni.
Ni Hezbollah yenyewe...waambieni watu kuwa:
1. Pagers zalipuka
2. Majumba yanabomolewa
3. Viongozi sasa wanakunywa mito ya pombe na bikra 72 zinawa masaji akina Nasrallah
4. Wanaomba ceasefire nk 😂
 
Upo sahihi kabisa mkuu, hilo pengo la teknolojia na ujasusi ndio limewamaliza Hezbollah.

Israel haiwezi kuiangamiza kabisa Hezbollah ila itaidhoofisha tu kama ilivyofanya kwa Hamas
Mbinu inayotakiwa kutumika sasa, Hamas watakwisha na Hezbollah watakwisha.

Tangu mwaka jana Israeli ilipoanzisha mashambulizi Gaza imekua ikitangaza raia kuhama, inashambulia litakaowakuta, jeshi likiona limemaliza linaondoka na kuhamia eneo jingune.

Mbinu hii inawapa afueni maadui kurudi kujichimbia tena kwenye viunga vya zamani,walikopita na kuondoka askari wa Israel.

Sasa nimesikia jana toka Bbc kuwa, raia wanatangaziwa kuhama maeneo yanayotakiwa kushambuliwa, atakayekaidi atahesabika ni adui.

Na baada ya mashambulizi, maeneo hayo yatakaliwa na jeshi na hakuna atakayeruhusiwa kuingia ama kutoka, misaada haitaingia na maadui waliokimbia hawatarudi, aliyekaidi kuondoka atakufa kwa njaa na kukosa mahitaji muhimu.

Mbinu hii mpya ikitumika, mateka watapatikana wakiwa hai au wamekufa na ushindi utapatikana.
 
Vilisikika vitisho vingi sana mara ooh, Hesbollah sio gaza, mara ooh kumbuka 2006, n. K.

Tulivyokwenda kwenye uhalisia kumbe hedbollah ni wachumba tuu, na ni mara 100 Hamas.

Hao jamaa yahudi anajipigia mpaka kuna muda unawaonea huruma wanaume wazima na vilemba na midevu wakikaa mashimoni.
Uko kwenye kushabikia vita ndugu?

IMG_20241013_074256.jpg

Kwani wowote waliofiwa Kwa ajili ya hiyo stupid war wanasema je?
 
Back
Top Bottom