Hezbollah wanapigana kwa maslahi ya Nani? Mbona wanawaumiza raia wa Lebanon

Ndio maana nilisema mabwana wakubwa wanam favor sana huyu jamaa.
Ndio maana nikasema kama ingetokea wameachwa mtu bee aisee nyani angetema bungo muda sana.
It's true Israel ime advance tena sana tuu.
Ila Hizbollah ya 2006 si sawa na ya sasa.
 
Wanamgambo wanaiishi mji wa peke yao? Hawachamgamani na raia?
Hao waliopigwa leo waliambia waondoke kwa kuwa hezbollah wanaficha siraha kwenye makazi ya raia. Na hii ni strategic wanayotumia middle east kufanya raia ngao yao.
Mkuu haya madai ya Israel ni uongo.
Na mwaka huu ICJ yalimuumbua alipodai kuwa Hamas inatumia hospitali kuficha silaha.
Video alizowasilisha zilikua za kuundwa na zote zilichambuliwa zinaonekana fake videos.
Aisee huwezi ficha makombora chini ya makazi ya watu huu uongo.
Hizbollah ila kambi yao milima ya mpakani na Israel. Na ndiko mashambulizi wanayatekeleza huko.
Askari wa hizbollah ni raia wa Lebanon hivyo kuchangamana na raia kama raia wa kawaida sio vibaya.
Kwani wanajeshi JWTZ huwa hawabadili nguo na kupumzika na familia zao!??
 
PM Benjamin Netanyahu clearly delivers a message to the Lebanon people.

“Israel’s war is not with you, it’s with Hezbollah. For too long, Hezbollah has been using you as a human shields. It placed rockets in your living rooms and missiles in your garage.

Those rockets and missiles are aimed directly at our cities, directly at our citizens. To defend our people against Hezbollah’s strikes, we must take out these weapons.

Starting this morning, the IDF has warned you to get out of harm’s way. I urge you take this warning seriously. Don’t let Hezbollah endanger your lives and the life your loved ones. Don’t let Hezbollah endanger Lebanon, please get out of harm’s way now.

Once our operation is finished, you can come back safely to your homes.” — PM Benjamin Netanyahu.
 
Kwa kinachoendelea Lebanon Israel ina haki ya kushambulia, muda mrefu Hezibolah amekuwa akimchokoza Israel
Nma aliwaonnya
Paying two when given one, hulipa mara Mbili ya wanachofanyiwa, ukiwafanyia wema wanalipa mara mbili yake na ubaya vivyo hivyo. Ukiua muisrael mmoja kesho kijiji kizima kinalipa
 
Hao raia walikua wanatafuta nini katikati ya magaidi?!
 
Mabikra peponi wamebaki wachache nasikia
Ndio maana wanatafuta tiketi ya haraka iwezekanavyo
 
Lebanon, ilikuwa majority Christian country, kwa figisu za shia Muslim fundamentalist wa Iran, wakalianzisha na kutengeneza Hezbollah, ili ipambane na Israel,
Lebanon ilikuwa France of middle East, walipoingia wavaa kubaz na don't touch my shoes, wakaharibu kila kitu, Hezbollah iliibuka ili kupambana na wanamgambo wa kikristo waliokuwa wanaungwa mkono na Israel, America, Ulaya,
 
Makobazi akili zao wazijua wenyewe.
 
Usiseme Hizbollah sema raia wa Lebanon.
Msipotoshe habari,kama hamjui kheri mnyamaze.

Bila Hezbollah zamani tu Lebanon ingekua chini ya Israel, na Lebanon mostly ni Serikali ya Kikristo. Huu ugomvi upo maelfu ya miaka, kifupi wakristo wa hayo maeneo huwa haziendi na west
Hezbollah ndio wameharibu lebanon na kugeuza kuwa uwanja wa mapambano. Kifupi lebanon ni failed state
 
Hezbollah ndio wameharibu lebanon na kugeuza kuwa uwanja wa mapambano. Kifupi lebanon ni failed state
No kabla ya Hezbollah hapo Lebanon ilikuwa ni Israel play Ground. baada ya Hezbollah kuja wakapa respectisha mpaka sasa unaona IDF wanawagwaya. "Nchi zote za middle East Wakristo wanafurushwa na West kasoro tu lebanon ambapo wabaongezeka thanks to hao Hezbollah" - maneno ya Raisi wa zamani wa Lebanon.
 
Vita ni biashara, wakubwa wanapewa pesa, maskini kwa mgongo wa dini wanapelekwa vitani na wanapigana kwa moyo kweli kweli wanakufa bure..
Dunia hii wenye akili wanaifaidi sanaa
 
We hujiulizi kwa nn Wana huo uwezo wa kushambulia makaz ya watu ila hawathubutu kurusha kombora?wanajia majibu yake ni Nini kutafuta...Sasa we wa kazulamimba ndo unajiona msemaji wa magaidi wa hezbo kwa ngonjera zako za kujifariji
 
Usituulize sisi kwa ujumla hatujui wewe wataje kwa majina magaidi uchwara wa humu( webabufaiza foxy,rits na wengine) wakupe majibu. Mimi nachojua ni ishu ya wale dada zao bikira 72 ndo inawasumbua. Ukumbuke mfadhili wa vikundi vyote vyenye mlengo wa bikira 72 ni nchi kubwa la magaidi inayoitwa Jamhuri ya Kiislamu ya Iran
 
Bila Hezbollah zamani tu Lebanon ingekua chini ya Israel, na Lebanon mostly ni Serikali ya Kikristo. Huu ugomvi upo maelfu ya miaka, kifupi wakristo wa hayo maeneo huwa haziendi na west
Waislam wameiharibu Lebanon na kuisababishia vita
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…