Tumia akili urusi anapigana na ukraine vita lakini hatujawahi sikia mauaji ya halaiki kama yanayotokea ghaza ilhal jamaa hawana vifaru wala air defenceUnaposema israel inches kuuwa wakina mama na watoto inabidi kuwasema hamas na hezbolahh watches kuwatumia wakina mama na watoto kama ngao na kutumia miundo mbinu ya kiraia kama shule na hospital kwa ajili ya kutekeleza majukumu yao.
Zimedanganywa target zikajaa then wakapiga kwingineNashangaa kwanini iron dome na defensive systems zimeshindwa ku detect.
Air defense sirens hazikufanya kazi na kwahiyo ilikuwa shambulizi la kushtukiza.
Hezbollah wamefanya shambulio la drone kutokea Lebanon na kupiga kambi ya jeshi ambapo wanajeshi zaidi ya 40 wamejeruhiwa na wengi wakiwa kwenye hali mbaya!!
Tofauti ya Israel na Hezbollah na HAMAS ni kua wao wanashambulia kambi za jeshi,miundo mbinu ya kijeshi na wanajeshi wenyewe wa Israel ilihali Israel yenyewe inafanya mauaji kwa kulenga wanawake na watoto, Hospital,kambi za wakimbizi na makazi ya watu ili kuwashinikiza HAMAS na Hezbollah wasitishe vita na kukubali matakwa ya Israel.
Soma Pia: Wanajeshi zaidi 300 wa Israel wamengamizwa na Hezbollah wiki hii pekee
View attachment 3124145View attachment 3124147View attachment 3124148
Mimi ninachoamini ghaza hawana cha kupoteza kwa sababu wamekuwa wakiishi maisha ya kiutumwa for long time na lebanon kwa kuwa wameamua kuwasapot wenzao wameamua kuadopt lifestyleHatari sana hii drone walizotumia ni kiboko, ADs za Israel zimeshindwa ku- detect.
Israel italipiza ila raia wa Lebanon ndio waathirika wakubwa wa hii vita
Acha vitisho wewe kwenye vita Kuna kupiga na kupigwa .Wanajeshi wa Israel hawajifichi kwa akina mama na watoto kama wafanyavyo magaidi.
Hilo shambulizi ni kwamba hao magaidi wamekojolea upele na kinachofuata ni safari kwenda akhera kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai. Wasubiri mziki.
Hezbollah wamefanya shambulio la drone kutokea Lebanon na kupiga kambi ya jeshi ambapo wanajeshi zaidi ya 40 wamejeruhiwa na wengi wakiwa kwenye hali mbaya!!
Tofauti ya Israel na Hezbollah na HAMAS ni kua wao wanashambulia kambi za jeshi,miundo mbinu ya kijeshi na wanajeshi wenyewe wa Israel ilihali Israel yenyewe inafanya mauaji kwa kulenga wanawake na watoto, Hospital,kambi za wakimbizi na makazi ya watu ili kuwashinikiza HAMAS na Hezbollah wasitishe vita na kukubali matakwa ya Israel.
Soma Pia: Wanajeshi zaidi 300 wa Israel wamengamizwa na Hezbollah wiki hii pekee
View attachment 3124145View attachment 3124147View attachment 3124148
Hizi ADs bado haiwezi kuwa 'perfect' kwa asilimia 100, ila hii ni onyo kwa Netanyau kuwa akiingia kwenye mzozo mkubwa na Iran hali itakuwa zaidi ya hii.Nashangaa kwanini iron dome na defensive systems zimeshindwa ku detect.
Air defense sirens hazikufanya kazi na kwahiyo ilikuwa shambulizi la kushtukiza.
Netanyahu yeye anataka kuacha ligand no matter at what costHizi ADs bado haiwezi kuwa 'perfect' kwa asilimia 100, ila hii ni onyo kwa Netanyau kuwa akiingia kwenye mzozo mkubwa na Iran hali itakuwa zaidi ya hii.
Wanatia huruma sana,inaonekana wazi hawapendezwi na hali inayoendelea ni vile tu wameshakuwa watumwa.
Wale watazichapa nao hata miaka 10....halafu wale na Hawa walebanon wameungana chini ya mwamvuli wa Iran....Netapaka akubali ceasefire Ili ajipange upya kwa mtifuano wa baadae....ila akiendelea hivi na Hawa askari wake warembo wa kike na ma brazameni....hakyanani watafukiwa wengi sana.....hakuna watu wabishi kama waarabu tena wanaopigana kwa sababu Fulani maalum....amuulize mzee wa maandishi matatu alivyotoka nduki kule kwa wa Taliban....waarabu ni manunda in natureIsraeli ingeachana na hao jamaa, ingemalizana na hamasi kwanza.
mshika mawili moja humponyoka...ndio kinacho tokea.
Taarifa zinasema Hezbollah wamerusha drone aina mpya kabisa ambayo haijawahi kutambuliwa,mifumo ya anga imehadaiwa na kujikuta tayari kambi imetwangwa na direct kboom kwenye mesi ya wanajeshi wakati wanakula na kukiwa na kiongozi mkubwa wa jeshiNashangaa kwanini iron dome na defensive systems zimeshindwa ku detect.
Air defense sirens hazikufanya kazi na kwahiyo ilikuwa shambulizi la kushtukiza.
Tafuta vyanzo vya habari mkuu....kuna videos zina circulate kwny social medias IDF walikuwa wanatumia makazi ya watu kama post zao za kijeshi kule kwny mpaka wao na Lebanon....Hawa Hezbollah wakatoa tangazo kwa raia wa Yale makazi waondoke maana rasmi Yale makazi yatakuwa ni military targets kwa kuwa wanajeshi wanajificha mule.....Wanajeshi wa Israel hawajifichi kwa akina mama na watoto kama wafanyavyo magaidi.
Hilo shambulizi ni kwamba hao magaidi wamekojolea upele na kinachofuata ni safari kwenda akhera kwa mabikra 72 wenye macho kama mayai. Wasubiri mziki.
Wamekariri hao, Israel anaficha kambi zake nyingi sana kwenye makazi ya watu,mfano Makao Makuu ya Mossad yapo katikati ya makazi ya watu, Hezbollah wametoa kweli tangazo la kuwataka raia kwenye miji yote iliyokaliwa kimabavu na Israel waondoke kwenye maeneo ambayo jeshi limejichomeka kwa makambi na miundo mbinu kwani kuanzia Sasa ni target halaliTafuta vyanzo vya habari mkuu....kuna videos zina circulate kwny social medias IDF walikuwa wanatumia makazi ya watu kama post zao za kijeshi kule kwny mpaka wao na Lebanon....Hawa Hezbollah wakatoa tangazo kwa raia wa Yale makazi waondoke maana rasmi Yale makazi yatakuwa ni military targets kwa kuwa wanajeshi wanajificha mule.....
Kuna raia karibu 67000 wakubwa evacuated kutoka northern Israel kwa akili Yako ndogo unahisi kwann wameondoka huko?⚡️⚡️🇱🇧🇵🇸 Israeli media: The number of injuries due to the explosion of a drone in a military base south of Haifa has risen to 67
Tuseme hezbollah wangeamua kupiga makazi ya watu eangeua watu wangapi