Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

Unakisonono cha akili wewe,unataka kujifanya unajua kumbe jinga tu.ulicholeta hapo ni kitu tofauti kabisa na kile chakwenye hotuba.Alafu huna haja yakutumia nguvu nyingi sana kusifia au kuficha makosa maana kila mtu ana akili na anajua kipi ni kipi.Kama unapiga mapambio piga mapambio hadi unye kabisa maana huwezi kua wa kwanza ila sio ndo ujifanye wewe ndo unajua kuliko wengine.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Nakusaidia wewe kilaza,,dola za Marekani mil.6250 usione kitu cha ajabu.
 
Uko pretty innovative katika kuhamisha magoli. Endelea, tunakusikiliza. Ila n'achoshukuru, umeelewa FIKA ulikokosea, na mantiki ya ukosoaji husika. So, unachojaribu sasa kufanya hakina maana yoyote, in a nutshell.

Halafu, usiseme, ^you've serious problem^ Huku ni ku-abuse lugha adhimu ya Kiingereza. Kama hukijui, afadhali mapema tumia Kiswahili, tuko tunakuelewa vizuri.

Instead: ^you've A serious problem^ Hiyo ^A^ uliyoiruka ni dhahiri shahiri inakushuhudia kihasi kwamba hukupata ^A,^ bali ^F^ kwenye lugha ya Inglishi.
 
Nimekuambia TAJA NIME-SPIN nini, na ikiwa kweli unafahamu maana ya ku-spin! Jikite hapo! Na ndo maana nikakuuliza hivi unahangaika ku-prove nini?! Hatimae nimegundua! UJUAJI MWINGI na ndo maana badala ya kujibu nilichokuuliza, unakimbilia kujifanya Mwalimu wa Kiingereza! Ni ushamba ulioje!!

Jibu nilichokuuliza "NIME-SPIN NINI NA UNAELEWA NINI KUHUSU KU-SPIN JAMBO"! Kama huna jibu, then kuwa na siku njema manake unanmipotezea muda!
 
Kwani msomaji mwenyewe hajui ukweli? Ukiandikiwa uongo na ukasoma uongo bila kuonyesha kushtukia ina maana wewe ni Rais usiyejua tuna akiba kiasi gani ya fedha za kigeni ni hatari sana

Sent from my TECNO P704a using JamiiForums mobile app
Basi tuseme hakuiona wakati anasoma. So, it means hakupitia hotuba yake kabla ya kuiwasilisha kwa umma. Ni mwendo wa kunakili na kubandika nzimanzima. Hivi kitendo hiki kina tofauti gani na kuibia mtihani?
 
Basi tuseme hakuiona wakati anasoma. So, it means hakupitia hotuba yake kabla ya kuiwasilisha kwa umma. Ni mwendo wa kunakili na kubandika nzimanzima. Hivi kitendo hiki kina tofauti gani na kuibia mtihani?
Bila kumung'u ya maneno ni kuwa TUMEPIGWA na kitu kizito kichwani katika awamu hii ya sita kuliko awamu zote zilizo tangulia!
 
Nonsense!
Wewe ndiye mshamba, unayekurupuka kukosoa bila kuchunguza kwa makini. Then unasema ^hujakosea^ ila ^ume-overlook!^ Yaani hata hujui maana ya maneno hayo mawili. Pole!

Two, kama matumizi ya articles ^a^ na ^an^ hujui, utawezea wapi maana ya ^ku-spin^?

Three, unasema: ^unanipotezea muda^ Are you sure? Have I grabbed you by the throat and force you to comment? Huo nao ni ushamba na ukurupukaji.

Lastly, ^manake^ ni neno la lugha gani vile?
 
Umeshindwa kujibu "MKALI WA KIINGEREZA",!
 
Kwa kuongezea kama unahutubia watanzania milioni 60 na lugha yao kuu ni Kiswahili Kuna haja gani hasa ya kuwaekezea Habari za dollar ya taifa lingine? Kwa nini usiseme kwa shilingi ya kitanzania?
 
Kuna umuhimu sasa wa kurekebisha utaratibu wa kuwapata watumishi wa uma kwa kuzingatia uwezo wa fikra badala ya vyeti tu.
Inawezekana wengi huajiriwa kwa kuangalia vyeti na matokeo yake ndiyo haya.
Watu wenye akili nzuri wanajulikana, pamoja na elimu ya vyeti, idara ya usalama wa taifa itumike kuwapata (kama nayo haijaathirika).
 
Kuna umuhimu sasa wa kurekebisha utaratibu wa kuwapata watumishi wa uma kwa kuzingatia uwezo wa fikra badala ya vyeti. Inawezekana wengi huajiriwa kwa kuangalia vyeti na matokeo yake ndiyo haya.
Watu wenye akili nzuri wanajulikana, pamoja na elimu ya vyeti, idara yusalama wa taifa itumike kuwapata (kama nayo haijaathirika).
 
Samia amewekwa hapo na Kikwete, juzi kampa kazi ya Chancellor for 6 years? Why 6? Wote wezi hao wapo kujaza matumbo yao. Sheria inadilishwe ili tuweze kuwashitski. They are thieves and they care less.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…