Consultant
JF-Expert Member
- Jun 15, 2008
- 11,503
- 20,892
Bilal “alipewa” uVP kama means ya kutuliza hali ya hewa Zenji maana kwenye kura zao kule alimtimulia vumbi kali sana Dr. SheinAwamu ya Pili ya uongozi wake angeweza na alikuwa na nafasi ya kufanya hivyo. Kwanini hakufanya?
Unajua Kikwete aliwahi kufanya hivyo? Unajua Dr. Shein alikuwa makamu wake wa awamu ya kwanza, awamu ya Pili akamteua Dr Bilal na Dr. Shein akaenda kuwa Rais wa Zanzibar??
Unajua?
BTW, mgombea wa urais wa CCM kimsingi huwa hana say 100% kwenye kuchagua running mate. Ile Central Commitee ndiyo inacontrol haya mambo