Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

Nimefuatilia comments za watu. Kwahiyo wote tumekubaliana kwamba mama amekosea kutaja hiko kiwango cha pesa. Huo mzigo hakuna kwenye stock.
 
Nimefuatilia comments za watu. Kwahiyo wote tumekubaliana kwamba mama amekosea kutaja hiko kiwango cha pesa. Huo mzigo hakuna kwenye stock.
Hajakosea kutaja , hajui hesabu na hajawahi kuisoma
 
Prof Luoga, Gavana wa bank kuu, naye hii namba imemchanganya. Alafu cha kushangaza na kupitiliza huyo ndiye anachagua maprofessa kwenye nafasi mbali mbali. Du
 
Ikitokea kiongozi wa nchi hajui hesabu kabisa kama jinsi dalili zinavyoonesha walio chini yake watajibebea mapesa mpaka waseme wamechoka!
 
Sina uhakika kama umeongea fact au unadhania......pesa ya MO Dewji uiingize kuwa hifadhi ya taifa? Tena useme unaweza kuinunulia ugali wa nchi kwa miezi 7? Can't be serious
 
Mm naomba mtu mmoja anisaidie huu mfumuko wa bei, hesabu zake hufanyikaje maana sizielewi wanavyosema wao na uhalisia wa kijijini kwangu. Mwenye uelewa tafadhali
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…