Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende

Nimefuatilia comments za watu. Kwahiyo wote tumekubaliana kwamba mama amekosea kutaja hiko kiwango cha pesa. Huo mzigo hakuna kwenye stock.
 
Nawasalimu kwa jina la USD 6253 Billion. (17,000,000,000,000,000)


Kila siku tunaelezana ya kwamba wanamake walipewa heshima kubwa kua walezi wa familia ndio majukumu yao kwa asili. Wazae na kulea ukweli ni kwamba wanawake are so incompitent katika vipimo, ujazo na mahesabu na sio jambo baya hawakuumbwa kwa majukumu hayo waliumbwa kuzaa na kulea.

Jokes aside, fanya utafiti wako wafuate wanawake 10 randomly kila mmoja mwambie akuonyeshe urefu wa inch moja wengi wakwambia hawajui, anaejifanya mjuaji atakwambia "nikuteka jengo lile pale mpaka lile kule" haa haa ha waulize meter moja ina makadirio ya urefu gani atakwambia urefu wa wa ukucha akimaanisha mm. Botomline wanawake hawakuumbwa kwa majukumu ya mahesabu, vipimo, ujazo ni wazazi na walezi, haya Saa100 anatuambia hazina ya USD billion 6253 maskini hajui hiyo hata ni kiasi gani, ukweli ni kwamba hata marekani hawana hazina kubma kiasi hicho takribani 17,000,000,000,000,000 yani figure hata haitamkiki
Prof Luoga, Gavana wa bank kuu, naye hii namba imemchanganya. Alafu cha kushangaza na kupitiliza huyo ndiye anachagua maprofessa kwenye nafasi mbali mbali. Du
 
Ikitokea kiongozi wa nchi hajui hesabu kabisa kama jinsi dalili zinavyoonesha walio chini yake watajibebea mapesa mpaka waseme wamechoka!
 
Hizo sio hela za umma tu ni pamoja na za sector bijafsi.

Stock ya dola ina maana wakichukua dola zote za serikali, na zile zinazomilikiwa na watu binafsi kwenye bank na bureau ndio unapata akiba ya fedha za kigeni. Kusema serikali ikazilipie deni sio sahihi maana sio hela zake
Sina uhakika kama umeongea fact au unadhania......pesa ya MO Dewji uiingize kuwa hifadhi ya taifa? Tena useme unaweza kuinunulia ugali wa nchi kwa miezi 7? Can't be serious
 
Mm naomba mtu mmoja anisaidie huu mfumuko wa bei, hesabu zake hufanyikaje maana sizielewi wanavyosema wao na uhalisia wa kijijini kwangu. Mwenye uelewa tafadhali
 
Back
Top Bottom