Hii akiba ya fedha za kigeni dola Bilioni 6,253 aliyosema Rais Samia kiboko, deni la Taifa lingekuwa hela ya peremende


 
Makosa ya kiuandishi ni mil.6250 sawa na til.14 .5 za tzn
Sasa kama unajua kuna makosa yakiuandishi kwanini ulianza kukebehi watu waliokua wanahoji?.Umetukana weee mwishoni umeaibika mwenyewe.Jifunze ustarabu na punguza ujuaji.ata kama jambo unalijua tumia njia zakistarabu kuelewesha badala ya kutukana nakuona wengine hawajui ni wewe tu.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 

Kwa hiyo wasaidizi wa Mama Ni wanawake?
 
Ikitokea kiongozi wa nchi hajui hesabu kabisa kama jinsi dalili zinavyoonesha walio chini yake watajibebea mapesa mpaka waseme wamechoka!
"Mimi sina uwezo wa kuhesabu matofali kama xxxx" kumbe sio uwezo wa kuhesabu matofali tu hata uwezo wa kufanya hesabu ya fedha. Tumepigwa
 
Mwanamke siku zote hawezi kuwa kiongozi mbele ya wanaume
labda awe kiongozi mzuri mbele ya wanawake wenzake
 
Mkuu ni kweli haujajua kateu wanawake wenzake kila kona ?
Wanawake hao wanaoteuliwa hajui wanaishi na akina nani hilo ndilo tatizo . Unakuta wizara inaongozwa na watu wawili tena usio wajua
 
alisema lini tena hii
Aidha, katika kuhakikisha uchumi haupati athari hasi, tulichukua hatua za kudhibiti Mfumuko wa bei, ambapo umeendelea kuwa kati ya asilimia 3 hadi 5; na kuhakikisha kwamba tunakuwa na akiba ya kutosheleza ya fedha za kigeni ambapo kwa sasa nchi yetu ina kiwango cha kiasi cha Dola za Kimarekani bilioni 6,253 zitakazotosheleza kuagiza chakula na huduma kwa kipindi cha miezi 7.

Hii ni

Hotuba ya Rais Samia Suluhu ya kufunga mwaka 2021. Kirusi kipya cha Corona cha Omicron kimeshaingia Nchini Tanzania​

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…