Vincenzo Jr
Platinum Member
- Sep 23, 2020
- 33,225
- 83,181
πππ€£π€£π€£π€£ Aisee, nashukuru sana mkuu kwa upendo wa Agape
Honestlyβ¦. People are sick.Hivi motive behind multiple IDs ni nini, mbona ni kama watu wanajipa kazi sehemu isiyo na mshahara?
π€£π€£π€£ Fake ya Fake yake.Honestlyβ¦. People are sick.
Hii tayari ni fake ID, bado kuna fake ya fake yake??? Mi nitakuwa wa mwisho kuelewa hili suala.
Unless kuna wale wanaokula ban kila siku, ni sawa kuwa na ID mbili ikiwa anaona hawezi subiri kifungo kiishe .
Fake ya fake yake Dada ππ€£π€£π€£ Fake ya Fake yake.
Kuna muda unacheka tu, kisha Tunaachana nayo tu, Unasema kama tiv Yanini mie.
Mfano kama Kuna lile jinga IB Lina avator ya Elon Lina I'd kama tano likianza kujipa vyeo na subordinates wake eti ndio kama wanaliunga mkono Rais wa singo nini sijui. Mavi matupu.
π€£π€£π€£ Ndiyo tunaanzia hapo hapo,ilipigwa ban To yeye nikaanzisha Beesmom ...you see!?Honestlyβ¦. People are sick.
Hii tayari ni fake ID, bado kuna fake ya fake yake??? Mi nitakuwa wa mwisho kuelewa hili suala.
Unless kuna wale wanaokula ban kila siku, ni sawa kuwa na ID mbili ikiwa anaona hawezi subiri kifungo kiishe .
Yah hii sawa kabisa.
π€£π€£π€£π€£π€£ Yani Huwa ni ucheshi. Unajiuliza anaogopa kitu Gani kuwa black au white. Mpaka atafute Comouflage mbili au zaidi. Kama tunabebana tubebana tu .Fake ya fake yake Dada π
Ila hii ya tu yeye ni mpya, kwenye ID moja ni marafiki, ID nyingine maadui. Kwanini tusiwe maadui au marafiki moja kwa moja?
Wazimu!
Mambo ya kusikitisha sana haya. Fake juu ya fake, au kuna kitu wenzetu wanapata sisi hatujui mkuuπ πHonestlyβ¦. People are sick.
Hii tayari ni fake ID, bado kuna fake ya fake yake??? Mi nitakuwa wa mwisho kuelewa hili suala.
Unless kuna wale wanaokula ban kila siku, ni sawa kuwa na ID mbili ikiwa anaona hawezi subiri kifungo kiishe .
Naomba nimuiteπ π π ππππ€£π€£π€£ Fake ya Fake yake.
Kuna muda unacheka tu, kisha Tunaachana nayo tu, Unasema kama tiv Yanini mie.
Mfano kama Kuna lile jinga IB Lina avator ya Elon Lina I'd kama tano likianza kujipa vyeo na subordinates wake eti ndio kama wanaliunga mkono Rais wa singo nini sijui. Mavi matupu.
Tumekuwa waraibu asee, kwamba ukilimwa ban huwezi kuvumilia hadi kifungo kiishe?
Ni mirembe day.Naomba nimuiteπ π π πππ
Umuachie nani? Kanyaga twendeVery addicted....najaribu kuiacha jf nashindwa mkuu