Ukiongea Ukristo unamaanisha Ukatoliki kwa kuwa ndiyo Wakristu wa kwanza kabla ya kugawanyika kanisa la mashariki na la magharibi Karne ya 11 na kisha ujio wa Waluteri na Waanglikana karne ya 15.Ni ngumu sana kuelewa lengo la ukatoliki katika imani ya Kikristo
Roma Catholic hawajawahi kuwa wa Kristo na hawatakuja kuwa wa Kristo na wala hawakuanzisha UkristoUkiongea Ukristo unamaanisha Ukatoliki kwa kuwa ndiyo Wakristu wa kwanza kabla ya kugawanyika kanisa la mashariki na la magharibi Karne ya 11 na kisha ujio wa Waluteri na Waanglikana karne ya 15.
Kama una question Ukatoliki basi una question Ukristu
Umeona sare ya viatu tu? Hata huo mlalo ni sareUpadrisho ndo nini? Mbona viatu sare?
Samahani hivi wakipewa viti wakakaa hawawezi kuwa mapadri hadi walale?Rituals, yasiyokuhusu achana nayo.
Hao ni mapadre wapya wanawekwa wakfu.
Mbona kama nje ya mada mkuu?Eti maandiko! Nitajie mahali kwenye Biblia ilipoandikwa "rozari" na " kumuomba Bikira Maria"
Waulize wale wanaosujudu Allah hawezi kuwasikia wakimswalia wakiwa wamekaa kwenye viti?Samahani hivi wakipewa viti wakakaa hawawezi kuwa mapadri hadi walale?
Kwanza masinagogi ni manini? Bado yapo hadi leo?Ungemuuliza Yesu alikaa kwenye mabenchi alipokuwa kwenye masinagogi?Yeye huwa anaenda kuabudu kwenye masinagogi?
Hilo la kusujudu ALLAH kawataka kufanya hivyo na sio wao tu hata huyo yesu alisujudu, kuna mtu kauliza hapo hiyo ya kulala ipo kwenye andiko lolote?Waulize wale wanaosujudu Allah hawezi kuwasikia wakimswalia wakiwa wamekaa kwenye viti?
Walutheri, Anglican, Moravian, Orthodox, Coptic hao wote ni Wakatoliki lakini siyo Roman Catholic.Ukiongea Ukristo unamaanisha Ukatoliki kwa kuwa ndiyo Wakristu wa kwanza kabla ya kugawanyika kanisa la mashariki na la magharibi Karne ya 11 na kisha ujio wa Waluteri na Waanglikana karne ya 15.
Kama una question Ukatoliki basi una question Ukristu
Lete sura ya quran.Hilo la kusujudu ALLAH kawataka kufanya hivyo na sio wao tu hata huyo yesu alisujudu, kuna mtu kauliza hapo hiyo ya kulala ipo kwenye andiko lolote?
Tumalize hili la kulala kwanza, then hilo lako tutalifungulia uziLete sura ya quran.
Ila yule padri wenu mliyejitahidi kumtetea kazingua sana, atauaje albino.Aisee..!! Uzuri wa sisi wakatoliki, mkitutukana au kutusema, tunakusikiliza, dominika ikifika tunakwenda kanisani kusali, halafu baada ya hapo kwenye kitimoto na bia. Hatuna muda wa kukuaminisha kuhamia ukatoliki. Ukiona unautaka, ni juu yako kutafuta kanisa lilipo na wewe mwenyewe kujieleza unachokitaka then unaendelea na utaratibu. Hivyo wewe tuseme, tu usiku wote tutalala..!!
Utamaliza vipi wakati hujui lolote? Kwenye quran huwezi kupata biography yoyote ya mtume Muhammad mpaka usome Sila na hadithi ambazo zipo kwenye Sunna.Tumalize hili la kulala kwanza, then hilo lako tutalifungulia uzi
Kuna mmoja anawaza kwenda kwa waganga vyeo vipande haraka harakaHawa wasanii kama wengine tu, pamoja na kufanana mpaka soli za viatu lakini hapo kila mmoja anawaza jambo lake moyoni
Prostration is mentioned numerous times throughout the Bible, often as an act of humility during significant moments. In Genesis 17:2-3, for example, Abram falls face down upon being told by God that he will establish a covenant between them. In Matthew 17:6, the disciples fall prostrate in terror upon hearing God’s voice during Jesus’ transfiguration. And in Matthew 26:39, Jesus himself “advanced a little and fell prostrate in prayer” during his agony in the garden.Hiyo style ya kuwekana wakfu kifudifudi mmeitoa kwenye andiko gani mtumishi??
Is not guilty until court prove he is guilty.Ila yule padri wenu mliyejitahidi kumtetea kazingua sana, atauaje albino.
Hayo ndiyo majengo ya wayahudi waliyotumia kuabudia.Ni mfuasi gani wa Kristo anayeenda huko siku hizi?Kwanza masinagogi ni manini? Bado yapo hadi leo?
Na ndipo hoja yake ilipolalia hahahaHawakawii kusema wanamuabudu padre.Pinduapindua kama voda.
Kwahiyo ni kama waislam walivyo na hadithi?Lete sura ya quran.
Halafu uelewe Roman Catholic wana Apocrypha books ambazo hazipo kwenye bible lakini ni maandiko matakatifu ambayo makuhani wanachukuwa some refference kutoka vitabu hivyo, kama book of Enock, Sila and e.t.c
Sinagogi na mahekalu ya Wayahudi.Kwanza masinagogi ni manini? Bado yapo hadi leo?