Hii ina maana gani ni positive au negative?

Dah, humu humu mkuu? Noma asee, akiwaamulia wadada wa humu si balaa hili.
Kazingua kinoma anatumia pesa zake vibaya sana. Huwa anatembea na vipimo kabisa sanyingine kuna vidawa anameza hata upime vipi utaona majibu ni mzima. Ila ni kagonjwa kalizidiwa mwaka jana kakapelekwa india, naona ndio kidogo saivi amepoa. Hata humu JF naona kapunguza moto wake kidogo. Take care aisee!
 
Kumbe humu watu wanafikaga mbali kiasi hicho πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ€”
 
Mkuu, una uthibitisho wa hili? Unaongea kwa kujiamini sana..
 
Ndio nauthibitisho anakula mbaazi kitambo tu. Nayeye ni member humu kitambo tu ila huwa anabadili ID. Watu walikuwa hawaamini ila mwaka jana waliniamini alikauka balaa sema pesa ilimsaidia kuendelea kupumua pumua kwa muda.
Ww sio poa pker acha bas ujue unavunja sheria
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…