Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Hahaha............wakati nipo High school nilikuwa Mwanachama wa Chama chenu, na ilikuwa naweza kwenda mara mbili au tatu kwa sikuhuku unahitajika moyo wa chuma usio ne feelings
na usiwe unaishi Tabata maana hutaweza
Kwa kweli bora tumeoa Sasa, vinginevyo ningesalia Mwanachama hai wa Chama chenu 🤪