Huyu jamaa namjua vizuri sana, Nyumbani kwao ni karibu na kwetu, kwa hyo historia yake yote naijua, alivyo kua mwanzo mpaka sasa alipo fikia, aliondoka kesho na ndege ya saa tano juzi kuelekea marekan karudi jana, kusema ukweli sina mengi ya kusema, huo ndio ukwel, historia yake ni ndefu sana nimeamua kuifupisha.
 
Kweli naona umefupisha 😂
 
Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje.

Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.

View attachment 3018018
Huyo Mwanamke nafuu aliachwa kwakuwa Hana Akili,Mtoto ni Zawadi Mungu anatupatia,huwezi ukamuweka hivyo.ndoa zinatangazwa,angeweza kuzuia kama alikuwa na madai Kuliko huo unyanyasaji Kwa Mtoto
 
Huyo Mwanamke nafuu aliachwa kwakuwa Hana Akili,Mtoto ni Zawadi Mungu anatupatia,huwezi ukamuweka hivyo.ndoa zinatangazwa,angeweza kuzuia kama alikuwa na madai Kuliko huo unyanyasaji Kwa Mtoto
sio kila mahali ndoa hutangazwa mkuu, sisapoti alichokifanya.
 
Hebu iweke hapa mkuu..maisha ya mtu siku zote ni funzo kwa mwingine.
Mwaga vitu tujifunze.
Muhimu: Linda faragha zake!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…