Hii kali
Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje.

Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.

View attachment 3018018
Vita ya ndoa inaanza siku hiyo hiyo,sasa mpk mfikishe miaka 70 kuna ambae atakua hana sikio...
 
Soma Sheria ya Ndoa.ndoa hiyo hapo na kumelemela Kwa Bibi harusi,ilishatangazwa ikajulikana! Hujaoa labda ndio Maana hujui,au umeona za Mila,
Sijaoa ndio ila kuna za mila, kuna baadhi ya makanisa madogo nayo ndoa hawatangazi, unaenda unafunga tu.

Nna ndugu yangu aliwahi fanya hivyo, katoka nyumbani jumapili anaenda kanisani kwenye haya makanisa ya kilokole kumbe yuko na mipango yake ya kufunga ndoa na akaitimiza.
 
Back
Top Bottom