Witch hunter
JF-Expert Member
- Nov 21, 2018
- 2,106
- 5,806
Yupo vizuri sana😂 huyo mwanamama ana ujasiri sana.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Yupo vizuri sana😂 huyo mwanamama ana ujasiri sana.
Vita ya ndoa inaanza siku hiyo hiyo,sasa mpk mfikishe miaka 70 kuna ambae atakua hana sikio...Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje.
Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.
View attachment 3018018
Sijaoa ndio ila kuna za mila, kuna baadhi ya makanisa madogo nayo ndoa hawatangazi, unaenda unafunga tu.Soma Sheria ya Ndoa.ndoa hiyo hapo na kumelemela Kwa Bibi harusi,ilishatangazwa ikajulikana! Hujaoa labda ndio Maana hujui,au umeona za Mila,
😂😂😂🙌
Hii ni GG+ OVERBoth Teams to Score
Kuna vita, huwa ni lazima iwepo?Vita ya ndoa inaanza siku hiyo hiyo,sasa mpk mfikishe miaka 70 kuna ambae atakua hana sikio...
Sema wamefanya collabo wakapata mtotoJamaa hakua mjinga kumpiga chini huyo andazi
Watu wanajua kuharibu shughuli haswaaaHoneymoon ishakuwa chungu
Ukweli humuweka mtu huru, shida ingeweza kumuharibia mipango yake.Angemwambia anaemuoa kama ana mtoto nje sio mbaya.
Haswa mkuu apo ata msosi haupandiWatu wanajua kuharibu shughuli haswaaa
Utazawadia namna gani?Doooh!! mtoto ni zawadi ila siwezi zawadia mtu namna hio,,upuuzi pro max
Sema waswahili wa Pemba haoSema wamefanya collabo wakapata mtoto
Tanzania hii hii mkuu?Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje.
Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.
View attachment 3018018
kwenda labor au theaterUtazawadia namna gani?
Hahahaha 😂😂 waja mna manenoNa mkeka umechanika mpinzani tyr ana goli