Hii kali

Half american

JF-Expert Member
Joined
Sep 21, 2018
Posts
38,283
Reaction score
97,793
Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje.

Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.

FB_IMG_17184556549062372.jpg
 
Huyu jamaa namjua vizuri sana, Nyumbani kwao ni karibu na kwetu, kwa hyo historia yake yote naijua, alivyo kua mwanzo mpaka sasa alipo fikia, aliondoka kesho na ndege ya saa tano juzi kuelekea marekan karudi jana, kusema ukweli sina mengi ya kusema, huo ndio ukwel, historia yake ni ndefu sana nimeamua kuifupisha.
 
Huyu jamaa namjua vizuri sana, Nyumbani kwao ni karubu na kwetu, kwa hyo historia yake yote naijua, ulivyo kua mwanzo mpaka sasa alipo fikia, aliondoka kesho na na ndege ya saa tano juz kuelekea marekan karud jana, kusema ukweli sina meng yakusema, huo ndio ukwel, historia yake ni ndefu sana nimeamua kuifupisha.
Kweli naona umefupisha 😂
 
Picha ni Mwanandoa aliyezaa nje mtoto kisha hakumuoa huyo dada. Mwanamke aliyekua anamuoa alikuwa hajui kama ana mtoto nje.

Siku ya harusi wakati wa kutoa zawadi, mwanamama aliweka mtoto kwenye beseni kama zawadi.

View attachment 3018018
Huyo Mwanamke nafuu aliachwa kwakuwa Hana Akili,Mtoto ni Zawadi Mungu anatupatia,huwezi ukamuweka hivyo.ndoa zinatangazwa,angeweza kuzuia kama alikuwa na madai Kuliko huo unyanyasaji Kwa Mtoto
 
sio kila mahali ndoa hutangazwa mkuu, sisapoti alichokifanya.
 
Huyu jamaa namjua vizuri sana, Nyumbani kwao ni karibu na kwetu, kwa hyo historia yake yote naijua, alivyo kua mwanzo mpaka sasa alipo fikia, aliondoka kesho na ndege ya saa tano juzi kuelekea marekan karudi jana, kusema ukweli sina mengi ya kusema, huo ndio ukwel, historia yake ni ndefu sana nimeamua kuifupisha.
Hebu iweke hapa mkuu..maisha ya mtu siku zote ni funzo kwa mwingine.
Mwaga vitu tujifunze.
Muhimu: Linda faragha zake!
 
Back
Top Bottom