Hii kampuni haifai hata kidogo kuwekeza kwenye ardhi ya Zanzibar

Visiwa vya Hawaii mbona viko mbali na Marekani lakini ni kitongoji cha Marekani? Alaska mbona iko karibu na Russia kuliko Marekani lakini ni kitongoji cha Marekani? Sasa cha kushangaa kwamba Zanzibar ilikuwa ni sehemu ya Oman kihistoria ni kipi? Sasa mbantu kaletwa Zanzibar na Mwarabu halafu unataka kupaita kwa mbantu? Wakati waarabu, wapersia mmewakuta? Wapi na wapi?
 
Huko Alaska na Hawaii hao Marekani walikupata bila ya ubabe,uonevu ,ukandamizaji na umwagaji damu mkubwa?!!!

Kwa hiyo wabantu waliofika Madagascar nao walipelekwa na wageni weupe wa kutoka mbali?!!!

Kwa hiyo kabla ya mwarabu wa Oman kuja Zanzibar hakukuwahi kuishi wabantu ?!!!
 
Wabantu walivukaje bahari kufika visiwani? Waarabu walifika na majahazi, wabantu walifikaje?
 
Wabantu walivukaje bahari kufika visiwani? Waarabu walifika na majahazi, wabantu walifikaje?
Hebu twende taratibu.....

Wareno walifika Zanzibar kabla ya ujaji wa waarabu(1698)...unataka kusema kipindi cha wareno Zanzibar hakukuwepo na wabantu?!!!

Halafu hwenda nao ukawa ni ujinga wa kukaririshwa kuwa WABANTU hawakuweza kuunda MADAU/MASHUA/NGALAWA kabla ya ujaji wa watu weupe....hii nayo ni fimbo miongoni mwa fimbo za kuwabagaza WABANTU.......

N.B
Hii ni "Dufuna Canoe" imeundwa zaidi ya miaka 8000 iliyopita huko Nigeria.


Siempre JMT
 

Jaribu kwanza kutoka Dar mpaka Zanzibar na huo mtumbwi kama wa Dufuna halafu ukifika salama rudi tuendelee na mjadala. Halafu Waarabu walishakuja Zanzibar kufanya biashara kabla ya Mreno hajatawala. Rudi kasome tena historia ya Zanzibar.
 
Swala la Mchina na pengine popote haliakisi uvivu. Mimi pia nipo Bara. Hawa wanaoitwa wavivu ndo wafanyabiashara kiasi kwamba mtu akisema tu huyu ni Mzanzibari - maarufu Mpemba - basi wanasema huyo ana pesa. Hivi pesa hupatikana kwa uvivu?
Mpemba na hawa waunguja vitu viwili tofauti, wapemba wako committed sana huwezi kuwafananisha na wenyeji wa unguja, makunduchi, mtende, Uroa, unguja ukuu, mfenesini, kuzimkazi, bwejuu, mchamvi nk Ukiwakuta watu wa maeneo hayo matarajiri basi wamekwapua serikalini. Mpemba hata kazini hana mchezo tofauti na hizo sehemu nyingine. Hao unawaona uko bara ni wapemba, huwezi kuta mwenyeji wa unguja akifanya biashara huko narudia ni mmoja kati ya elfu1, ni wavivu, wanafiki, wafitini. Wanapenda hela hawapendi kazi. Hawa watu wangependa kazi wametungiwa sheria nyingi sana za kuwalinda, ni unguja pekee ambapo sheria inaagiza kibarua alipwe elfu 30 kwa kutwa, kima cha chini cha mshahara laki 3, overtime mara 2 ya malipo ya kila siku. Lakini hizo kazi za vibarua watakwambia za wanyamwezi
 
Kwa kawaida neno Mpemba hapa Bara linajumuisha Wazanzibari wote huwa hatubagui
 
Hujui kuwa Zanzibar ndiyo inayoongozwa kwa vitendo vya ushoga katika ukanda huu? Hujui kuwa viongozi wa dini wengi ni washiriki wa ushoga hasa wale wenye asili ya mashariki ya kakat
Lile kanisa la mashoga la wapentekoste kule Mbeya ni kutoka Zanzibar Na Lina watu wa kutoka mashariki ya Kati ?
 
Nimezungumziia Zanzibar mwanza imeingiaje!
Siku hizi tanganyika ushoga umeenea kwa kasi sana na kila siku mitandaoni watu wanawafurahia kina dokta kumbuka na kina mwinjaku
 
Lile kanisa la mashoga la wapentekoste kule Mbeya ni kutoka Zanzibar Na Lina watu wa kutoka mashariki ya Kati ?
Nabii Tito pia ni mzanzibari, James delicious pia ni mzanzibar yaani siku hizi tanganyika kimekua kituo cha mashoga wapenda kick mitandaoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…