Gobole Lenye Risasi
JF-Expert Member
- Oct 31, 2014
- 11,519
- 23,693
Kwenye kuombea sisi waombaji huwa tunakuwa na agenda mahususi kabisa. Yeye tumuombee nini?Ameongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Sasa kwa nini asikubali tu katiba mpya ya kupunguza hayo mamlaka ya mtu mmoja kuteuwa maelfu ya watu?!Tatizo lipo kwenye katiba inayompa mheshimiwa mamlaka ya kuteua watu zaidi ya elfu mbili.
Ilitakiwa hata bunge au tume ya utumishi ambayo iko independent bila vimemo na.interview ifanyike live kwenye national television kama kenya.
Nafasi zishindaniwe halafu vyeo vipunguzwe. Ukimskia Deus Kibamba anakuambia katiba pendekezwa ilitbua idadi ya wabunge 140 tu Tanzania nzima 70 wanaume 70 wanawake na.kila jimbo wabunge.2.tu.
Ikulu ni MZIGO....late Mwl NyerereThis woman has bitten more than she can chew.
Ni vile hatumuoni nyuma ya pazia, ila nina hakika she is having an emotional breakdown. Mambo yanamuelemea kuliko upeo wake.
..huwezi ku-address watu kwa maneno ya aina hii halafu bado ukataka kuheshimiwa, kuna anamlazimisha kuteua jitu? si anawafahamu watu mbona hawateui..au si yeye anateua km alivyosema aliyemtangulia alipolalamika..kuchomekewa kwenye uteuzi, km ni hivyo si aanze na hao wanaomletea hiyo orodha ya wateuliwa kuwaita jitu..!Ameongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Weeeeh... Apia. Analijua yeye au anayajua yeye hayo majitu. 🤣Wacha weee 😂
Tupe jina la Hilo jitu
Kwenye kuombea sisi waombaji huwa tunakuwa na agenda mahususi kabisa. Yeye tumuombee nini?
"Lijitu"Wacha weee 😂
Tupe jina la Hilo jitu
Kikatiba kiongozi lazima awe na akili timamu na kama amekuwa kiongozi maana yake kichwani zimo za kutosha(Double Implication),hivyo hili ombi ni batili kwa sababu tukiomba litaishia kwenye nguzo. Ombi jingine?Mumuombee apate akili
"Wengine wote mliwapa mikumi kwa nini Mimi mnipe mitano tu?" By StonetangawiziSasa kwa nini asikubali tu katiba mpya ya kupunguza hayo mamlaka ya mtu mmoja kuteuwa maelfu ya watu?!
Wananchi wenye nchi ndio wanatakiwa kuamua kama wanakupa mitano au kumi."Wengine wote mliwapa mikumi kwa nini Mimi mnipe mitano tu?" By Stonetangawizi
Kikatiba kiongozi lazima awe na akili timamu na kama amekuwa kiongozi maana yake kichwani zimo za kutosha(Double Implication),hivyo hili ombi ni batili kwa sababu tukiomba litaishia kwenye nguzo. Ombi jingine?
Angemlipuwa tu hapoWacha weee 😂
Tupe jina la Hilo jitu