Kama ni huyu jibu titalipata katika mkutano maalum keshokutwa29&30 DodomaHilo jitu ndio nani ?? fungueni code? au ndio nchimbi?
I love my president. Siyo mlkpokaji kama jpm ambaye alikuwa anapiga fix kila kitu ilimradi kuwafurahisha tu hata kama matendo ni zero. Alitupiga fix kwamba miradi i inajengwa kwa pesa za ndani kumbe ndo mkopaji namba moja na riport ya CAG ikamdharilisha.Ameongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Cdf Venance M, alitukosea sana kama taifa
Upuuzi mwingine huu.Ukimskia Deus Kibamba anakuambia katiba pendekezwa ilitbua idadi ya wabunge 140 tu Tanzania nzima 70 wanaume 70 wanawake na.kila jimbo wabunge.2.tu.
Si aseme tu kama yamemshinda, kwani dhambi?This woman has bitten more than she can chew.
Ni vile hatumuoni nyuma ya pazia, ila nina hakika she is having emotional breakdowns. Mambo yanamuelemea kuliko upeo wake.
Ungeweka video ingekuwa safi piaAmeongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Acha kuumiza kichwa. Wajuvi wa mambo tangu mwanzo tuligundua uongozi ni karama. Na siyo kulazimisha.Ameongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Presidency is not for the weakKweli Urais mgumu sana
Ngoja waendelee kumfitini. Usikute ni katika zile nafasi ambazo hawezi tena kutengua.Angemlipuwa tu hapo
Tramp nachomkubali hakwepeshi
Hapindishi maneno angemtaja hapo hapo
Kwanini ulee upuuz
Ova
Leo hadi watu wa mama mmekosa maneno, kweli leo kaupiga mwingi hadi umepasuka
Leo hadi watu wa mama mmekosa maneno, kweli leo kaupiga mwingi hadi umepasuka
Trump chuma kile mkuuAngemlipuwa tu hapo
Tramp nachomkubali hakwepeshi
Hapindishi maneno angemtaja hapo hapo
Kwanini ulee upuuz
Ova