Yeye kisha amua kunyang'anya kwa nguvu; kaanzia huko ndani ya chama chake kwa kujiteua mwenyewe. Kilichobaki sasa ni kutumia genge la "Askari wake" alio waandaa wambakishe kwenye madaraka kwa gharama yoyote ile; hata ya kumwaga damu ya waTanzania.Wananchi wenye nchi ndio wanatakiwa kuamua kama wanakupa mitano au kumi.