Kyenju
JF-Expert Member
- Jun 16, 2012
- 5,335
- 2,899
LIDULAMABAMBASI.Wacha weee 😂
Tupe jina la Hilo jitu
LIDULAMABAMBASI.Wacha weee 😂
Tupe jina la Hilo jitu
Hii si ndiyo uchawa?watakua loyal!!
Naona sasa ameamua kugombana na kila mtu. Bado tu kugombana na Abdul na Mchengelwa.Ameongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Nchi ngumu sanaaaaAmeongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Fikiria kidogo,Mungu amemuumba mwanadamu lkn mwanadamu akafanya makosaAmeongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Kwasasa kuwa chawa ndio kunenepa mkuu!Hii si ndoyo uchawa?
Kifo ni kifo tuAmeongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Kwanini madaraka ya kuteua yasipunguzwe kichwa kimoja kinateua watu buku jero kweli TZ tunaishi vichwa bogazi kabisa hasa haya machawa machawaKwani Rais ndio anawajua? Wengi wao si analetewa na watu wa vetting?
Ndio maana Kwa Sasa amegundua watu wengi waliokulia,kusoma au kufanya kazi Nje ya Nchi Kwa mda mrefu watakuwa westernized na waataka walete huo utaratibu kwenye Nchi zetu.
Wawe wanawekewa mashushushushu waaminifu.
Ile facial expression yake tu inaongea yote, amevurugwa mbaya.This woman has bitten more than she can chew.
Ni vile hatumuoni nyuma ya pazia, ila nina hakika she is having emotional breakdowns. Mambo yanamuelemea kuliko upeo wake.
Umeelewa mada, maana unaongea nje ya mada umelewa au umevuta bangeI love my president. Siyo mlkpokaji kama jpm ambaye alikuwa anapiga fix kila kitu ilimradi kuwafurahisha tu hata kama matendo ni zero. Alitupiga fix kwamba miradi i inajengwa kwa pesa za ndani kumbe ndo mkopaji namba moja na riport ya CAG ikamdharilisha.
Upo sahihi tumeshajua nani ni tatizoAmeongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
... Mkuu unataka uelezejwe? Mara zote si mwasema Urais ni taasisi, Sasa mbona mwafoka as if Urais ni mtu!!! Mnaamisha magoli ujue....si anawafahamu watu mbona hawateui..au si yeye anateua km alivyosema aliyemtangulia alipolalamika..kuchomekewa kwenye uteuzi, km ni hivyo si aanze na hao wanaomletea hiyo orodha ya wateuliwa kuwaita jitu..!
JK kamngangania sana huyu mama, yule mzee amegoma kabisa kustaafuMawazo yangu mgando nilijua the coming VP ataachiwa kijiti kama 2021 japo si kwa kupotea mtu bali ingetafutwa namna lakini mbona mambo yameenda kasi sana na October imesogea mbali,wacha wananchi tuone wenye nchi wanafanyaje mambo yao.
Km Prof kabsa..huwezi ku-address watu kwa maneno ya aina hii halafu bado ukataka kuheshimiwa, kuna anamlazimisha kuteua jitu? si anawafahamu watu mbona hawateui..au si yeye anateua km alivyosema aliyemtangulia alipolalamika..kuchomekewa kwenye uteuzi, km ni hivyo si aanze na hao wanaomletea hiyo orodha ya wateuliwa kuwaita jitu..!
Ukitoa wewe nitasoma piaToa maoni kama mtanzania mwenye akili timamu.
Kuna shida mahali nadhani kuna inferiority complexAmeongeza kuwa,