Kivuli Cha TAL kinamtisha anadhani alishawahi kumteuaHuyo Jitu ni nani? funguen code basi
Kivuli Cha TAL kinamtisha anadhani alishawahi kumteuaHuyo Jitu ni nani? funguen code basi
Jitu=Lenye nguvuMtu mwenye akili hawezi TEUA JITU
Toa maoni kama mtanzania mwenye akili timamu.
Jitu=Lenye nguvu
Kwamba hilo JITU limeshadakwa?Angemlipuwa tu hapo
Tramp nachomkubali hakwepeshi
Hapindishi maneno angemtaja hapo hapo
Kwanini ulee upuuz
Ova
Juzi Kiumbe yeyote Leo Jitu!!Wacha weee 😂
Tupe jina la Hilo jitu
Upo sahihi. Stone alikuwa anataka apewe na wenye nchi sio WananchiWananchi wenye nchi ndio wanatakiwa kuamua kama wanakupa mitano au kumi.
Kesi itageuzwa kwa huyo aliyevujisha utakuta ila weziKwamba hilo JITU limeshadakwa?
Naam,tathimini hii ipo relevant kabisa🙏Panic ya juu kabisa...mpunga unapigwa, mipango inagoma, unalazimisha unapagawa!
1.Chaumma ni failed project kabla hata haijaanza!,wahuni wamepita na kibunda!
2.Unaenda kuwa top sawa,dunia haioni tofauti yako na M7 au PK for the nxt 5 yrs!
3.Siri zako nyeti zinavujishwa na watu wako wa karibu,mpunga wako wanakula,hawakukubali!
4.Master minds hawana pressure wala stress, na hawakuachii wewe ni intrest yao,kufa kijerumani na tai shingoni!
Je,dalili zinaoneshwa huyo JITU ameshadakwa au ni jiwe gizani?Kesi itageuzwa kwa huyo aliyevujisha utakuta ila wezi
Watapeta
Ova
Kila jimbo wabunge wawili??Tatizo lipo kwenye katiba inayompa mheshimiwa mamlaka ya kuteua watu zaidi ya elfu mbili.
Ilitakiwa hata bunge au tume ya utumishi ambayo iko independent bila vimemo na.interview ifanyike live kwenye national television kama kenya.
Nafasi zishindaniwe halafu vyeo vipunguzwe. Ukimskia Deus Kibamba anakuambia katiba pendekezwa ilitbua idadi ya wabunge 140 tu Tanzania nzima 70 wanaume 70 wanawake na.kila jimbo wabunge.2.tu.
Hilo jitu ndio nani ?? fungueni code? au ndio nchimbi?Ameongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
😁😁😁😁 Mzee wa kaloti na kipande cha mhogoSio Profesa Janabi 😃
Unaomba mbuu damu eti akili timamu 😅Toa maoni kama mtanzania mwenye akili timamu.
Alishapotoka kitambo anatupotosha tu kuhusu masuala ya chakula bora🤣😁😁😁😁 Mzee wa kaloti na kipande cha mhogo
Rais wenu Yuko Kwenye PANIC MODE 📳Ameongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .