Hii Kauli ya Samia leo imeweka wazi tatizo lipo wapi. Watu Wenye Akili wasikitika sana

Akili, akili, akili

Ndio kitu mswahili kakikosa...

Kama tungeliweza, basi mashuleni tungeweka somo la kuwafanya watanzania wajifunze namna ya kutumia akili...
 
Ameongeza kuwa,

"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."

Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?

WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Kwani wewe unamuombea?
 
Jitu kama jitu.

Kuna jitu litaitwa na trump kuangalia tv pamoja siku si nyingi
 
..huwezi ku-address watu kwa maneno ya aina hii halafu bado ukataka kuheshimiwa, kuna anamlazimisha kuteua jitu? si anawafahamu watu mbona hawateui..au si yeye anateua km alivyosema aliyemtangulia alipolalamika..kuchomekewa kwenye uteuzi, km ni hivyo si aanze na hao wanaomletea hiyo orodha ya wateuliwa kuwaita jitu..!
Teuzi nyingi zizingatie meritocracy na ushindani. Katiba irekebishwe na kupunguza madaraka ya Rais kuhusu uteuzi na uanzishwaji wa ofisi serikalini. Tume ya utumishi wa umma ipewe baadhi ya madaraka ya uteuzi kumpunguzia Rais Mzigo. Hii ndiyo ilikuwa msukumo wa Sheria no 8 ya utumishi wa umma 2002 na marekebisho yake.
 
I love my president. Siyo mlkpokaji kama jpm ambaye alikuwa anapiga fix kila kitu ilimradi kuwafurahisha tu hata kama matendo ni zero. Alitupiga fix kwamba miradi i inajengwa kwa pesa za ndani kumbe ndo mkopaji namba moja na riport ya CAG ikamdharilisha.
Dogo wewe huwa ni fala sana halafu hujijui kama ni fala, inavyoonekana ako ka ajira ulikopata serikalini hivi karibuni kamekupa upofu kabisa kiasi kwamba hauoni lolote baya kwa samia...!!

Watu wanaongelea matumizi ya lugha mbovu kwa kiongozi wa juu dhidi ya watumishi wake, halafu wewe unakuja na habari zako za kipuuzi kuhusu JPM ambazo hazihusian hata kidogo.

Mjinga kweli wewe, inavyoonekana ulikuwa maskini sana nusu ya kufa kabla haujapata ako kaajira, karibu kila mada inayomuhusu Samia wewe lazima uje na comment ambayo haina uhusiano kabisa hili.
 
Umaskini ulisababishwa na jpm ndo mana nilifuraho kifo chake
 
Ameongeza kuwa,

"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."

Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?

WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Teuzi za kupendeleana, zisizoangalia uzoefu, uadilifu, taaluma, weledi, uzalendo. Teuzi zinazoangalia nani ni chawa mkubwa zaidi.
 
Ameongeza kuwa,

"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."

Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?

WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Duh! Kwa hiyo mama anatoa uteuzi ili kwamba wateuliwa walinde ufisadi?

Vv
 
Ameongeza kuwa,

"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."

Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?

WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Huyu sio wa kuombea ni wa kufuruzwa ofisini.
Hii ni ofisi yetu aachie haraka.
 
Dogo wewe huwa ni fala sana halafu hujijui kama ni fala, inavyoonekana ako ka ajira ulikopata serikalini hivi karibuni kamekupa upofu kabisa kiasi kwamba hauoni lolote baya kwa samia...!!

Watu wanaongelea matumizi ya lugha mbovu kwa kiongozi wa juu dhidi ya watumishi wake, halafu wewe unakuja na habari zako za kipuuzi kuhusu JPM ambazo hazihusian hata kidogo.

Mjinga kweli wewe, inavyoonekana ulikuwa maskini sana nusu ya kufa kabla haujapata ako kaajira, karibu kila mada inayomuhusu Samia wewe lazima uje na comment ambayo haina uhusiano kabisa hili.
Kajamaa ni ka chawa pro max.. ameanzisha uzi wake tena kaucharaza kwa kimombo. Uzi huo umejaa sifa kedekede kwa mama. Na hii ni sampuli ya vijana ambao bwana mmoja anasema wana adabu na utii kuliko vijana wa Kenya wanaomrarua mama kule X.
 
Jitu mwitu msitu Mungu alibariki sisi walipakodi tumependa nakufurahishwa na kazi aliyofanya tutamkumbuka kama mzalendo wakati muafaka ukifika🤣🤣
 
Kajamaa ni ka chawa pro max.. ameanzisha uzi wake tena kaucharaza kwa kimombo. Uzi huo umejaa sifa kedekede kwa mama. Na hii ni sampuli ya vijana ambao bwana mmoja anasema wana adabu na utii kuliko vijana wa Kenya wanaomrarua mama kule X.

Kashoga hako nakafahamu mkasamehe tu.
 
Mama y
Ameongeza kuwa,

"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."

Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?

WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Huyu hateui, analeyewa CV tuu, hivyo yeye hana kosa wenye kosa ni wale wanaomletea CV za JITU/MAJITU
 
Back
Top Bottom