mkulimamiwa
JF-Expert Member
- Mar 4, 2025
- 2,591
- 5,315
Kwani tunao wangapi ambao Rais aliwatoa nje kuja kufanya kazi nayeHuyo Jitu ni nani? funguen code basi
Tuwaorodhesheni hapa!
Yule dada wa habari?
Kwani tunao wangapi ambao Rais aliwatoa nje kuja kufanya kazi nayeHuyo Jitu ni nani? funguen code basi
Atakubali wapi wakati yeye alikuea kiongozi wa lile Bunge la Katiba akahakikisha katiba mpya haipiti!Sasa kwa nini asikubali tu katiba mpya ya kupunguza hayo mamlaka ya mtu mmoja kuteuwa maelfu ya watu?!
Daah kumbe zile Siri za kifisadi ndo kulitumikia taifa!?Ameongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Kwani Rais ndio anawajua? Wengi wao si analetewa na watu wa vetting?Ameongeza kuwa,
"Jitu lishapotoka huko nje, unaliteua, unaliweka, linakwenda na imani yake ile ile badala ya kutumikia nchi."
Sasa NAJIULIZA. RAIS ANATEUA JITU? ANAWAACHA WATU? AU ANAACHA MTU ANATEUA JITU? SHIDA IPO KWA ALIYETEULIWA AU ALIYETEUA?
WATU wengi nliokuwa nimekaa nao wameonekana kusikitika sana kwa jambo hili. Endeleeni kumwombea .
Akalazimisha bado ikagoma 😂😂"Wengine wote mliwapa mikumi kwa nini Mimi mnipe mitano tu?" By Stonetangawizi
Kwani Rais ndio anawajua? Wengi wao si analetewa na watu wa vetting?
Ndio maana Kwa Sasa amegundua watu wengi waliokulia,kusoma au kufanya kazi Nje ya Nchi Kwa mda mrefu watakuwa westernized na waataka walete huo utaratibu kwenye Nchi zetu.
Wawe wanawekewa mashushushushu waaminifu.
Dah umeandika nilichokifikiria sana Leo asubuhi. Hii ni baada ya kuangalia katuni na video nyingi za wakenyaThis woman has bitten more than she can chew.
Ni vile hatumuoni nyuma ya pazia, ila nina hakika she is having emotional breakdowns. Mambo yanamuelemea kuliko upeo wake.
Jomba Yule bwana alikuwa ana vituko Sana😄Akalazimisha bado ikagoma 😂😂
Hadi anaongea hayo ameshachanganya.Msiwe na akili za Mbayuwayu. Za kuambiwa changanya na zako.
Hadi anaongea hayo ameshachanganya.
Hadi anaongea hayo ameshachanganyikiwa.Hadi anaongea hayo ameshachanganya.
Anahujumiwa Ili aachie!hasta yeye anaelewa kwanini yanatokea!!Ameongeza kuwa,