Huu utani wa mabango kwa watani wa jadi ni wa kawaida sana kule Manchester, England. Kwa Manchester United na Manchester City.
Mtoto wa kiume unakua mmbea kama demu , taja idadi ya kesi amabazo kasha wahi kuzisimamia akashindwa au ndio u mbumbumbuJidanganye hvyo yule mwanasheria wa yanga hajawahi kushinda hata kesi moja ni kilaza wa kupindukia.
Bango ni juu ya matokeo ya mechi yetu na nyinyi vibonde wetu, hivyo hapo tungeweka nini ili ifahamike kwamba tumeifunga Simba goli 5?Huu utani wa mabango kwa watani wa jadi ni wa kawaida sana kule Manchester, England. Kwa Manchester United na Manchester City.
Lakini, katika mabango yote huwa sioni zikihusishwa nembo za timu. Nadhani kuna kitu huwa wanakwepa katika kutotumia nembo hizo.
Nembo ni alama inayokutambulisha katika wigo wa biashara, hivyo namna yoyote ya kutumia nembo ya mwingine kwa kuishushia hadhi inaweza kuleta malalamiko.
Ila nadhani Simba itapokea kama utani tu wa soka kama utani mwingine, na hili litapita bila ya mazingira ya kukomeshana.
Ova
Aione Nitah kwenye jalada NifahNaishauri timu yangu ya Wananchi, wajikite sasa kwenye maandalizi ya michezo ijayo. Huu mchezo ulishapita. Hivyo sioni sababu ya kuweka mabango, nk.
Hii itatufanya tuonekane kama tulibahatisha vile kuwafunga watani wetu zile goli 5. Tuonesheshe maturity bhana.
Umesahau mbumbumbu post yao kipindi wametufunga 5 ? au jiulize wao ndio wangekua wametufunga ingekuaje? by the way timu ipo Avic inajiandaa hizo zingine ni mbwembwe tuNaishauri timu yangu ya Wananchi, wajikite sasa kwenye maandalizi ya michezo ijayo. Huu mchezo ulishapita. Hivyo sioni sababu ya kuweka mabango, nk.
Hii itatufanya tuonekane kama tulibahatisha vile kuwafunga watani wetu zile goli 5. Tuonesheshe maturity bhana.
Ilitakiwa Yanga ifanye makubaliano ya kimaandishi na huyo unayeitumia nembo yake kwenye bango lako, siyo kujiamulia tu.Bango ni juu ya matokeo ya mechi yetu na nyinyi vibonde wetu, hivyo hapo tungeweka nini ili ifahamike kwamba tumeifunga Simba goli 5?
Lakini umeongelea vizuri b… Walau wewe una akili hata sijui ilikuwaje ukawa kolo, taifa limepata hasara.
Samaki mmoja akioza unamtupa kulinda wengine, huyo jamaa kaoza tunamtupa tukiendelea na raha zetu.
Kwani Alikamwe akiamua kupanda gari la matangazao lenye nembo ya Yanga, GSM na makampuni mengine yanayowafadhili yanga akachukua magaphone na kupita mitaani siku nzima hata wiki nzima akiwa anatangaza kuwa Yanga ilifunga Simba bao 5 kwa 1 litakuwa kosa?Ni biashara kubwa sana mkuu, kauli ya kusema kukumbushana (kama alivyosema Ali Kamwe) ni PSYCHOLOGICAL MANIPULATION tu ambapo unwillingly unajikuta unatoja nje ya hilo na kurise attention ya vingine kwenye hiyo billboard kama kinacho endelea kwa sasa mitandaoni.....Hilo ndilo lilikuwa lengo lao kubwa na wamefanikiwa.
MARKETING is MANIPULATIVE in nature mkuu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
😂😂Na yule injinia wa mchongo wa dit ambaye hajawahi hata kuunda kibitoJidanganye hvyo yule mwanasheria wa yanga hajawahi kushinda hata kesi moja ni kilaza wa kupindukia.
Una shida ya afya ya akili sasa ili tuendelee na mjadala kasome kitabu cha THE POWER OF HABITS AND HOW TO STOP WORRYING AND START LIVING maana sijaona sababu ya wewe kujibu kwa mihemko kitu cha kawaida kama hicho hili ni jukwaa la kufurahi na kubadilishana mawazo sio la matusi untakiwa upate tiba kwa Chris mauki au Aunt sadaka you're emotionally unstable you need to see psychiatrist.Mtoto wa kiume unakua mmbea kama demu , taja idadi ya kesi amabazo kasha wahi kuzisimamia akashindwa au ndio u mbumbumbu
Mkuu yule mwanasheria wa yanga ni mweupe kama karatasi kashawaingiza yanga king mara kibao.[emoji23][emoji23]Na yule injinia wa mchongo wa dit ambaye hajawahi hata kuunda kibito
Yangah imejaa viongozi vilazah
Mchek mooh na madigrii yake ya ulaya
Alisoma chuo gani?Mkuu yule mwanasheria wa yanga ni mweupe kama karatasi kashawaingiza yanga king mara kibao.
Kwahiyo magazeti yanapoweka matokeo ya timu au fixture za mechi kwa kuweka nembo za timu, huwa wanachukuliwa hatua gani? Au hilo sio kosa?Ilitakiwa Yanga ifanye makubaliano ya kimaandishi na huyo unayeitumia nembo yake kwenye bango lako, siyo kujiamulia tu.
Hata mwongozo wa Brela unaeleza kuwa, aliyeisajili nembo kwao ndiye mwenye haki ya kipekee ya kuitumia nembo aliyoisajili.
Ova
Wale ni shangazi kwa mjomba nilishamuelezea kitambo wale ni connection.Alisoma chuo gani?
Tufatilie gpa
Ukute hata law school hajaenda
Yangah wanapenda vya bure
A.K.A kichapo kitakatifuYanga ionyeshe imefunga Tano alafu aliefungwa asionekane. Kuwa wewe kuweza? Hiyo logo ya Simba inatakiwa kuwepo hapo mana ndio timu iliyopokea kibano