ukikaidi utapigwa2
JF-Expert Member
- Feb 24, 2015
- 15,265
- 29,991
Nmesubiri uweke vifungu vya sheria kumbe mboyoyo tuHapa wengi hawajui sheria
1. Pamoja na kwamba Azamu Ndio haki ya Matangazo ya mpira; hana haki ya kutoa matokeo ya match moja tu kwenye Billboard. Kuna haki Sawa kwa match zote?
2. Kwa nini hawajatoa Matangazo ya aina Hii kwa match zote? Kutoa Tangazo la match Hii moja, nini dhamira kuu?
3. Ukiangalia Simba ni injured party kwa hili, kuwa hali ya Matangazo ya TV na radio ni Sawa Iła sio billboard
4. Kwa sababu wametumia logo nje ya utaratibu basi Simba ana Haki ya Kudali fidia
5. Yanga kaweka Tangazo la wadhamini wale albo sio wadhamini wa Simba
Ni wachache tunajua vitu kama hivi hongera sana, majority ya watu kwenye hizi nchi changa zimejaa uninformed customers both actual and potential customers, most purchases are done blindly, however this is the viral one but it has to be linked with a special theme, inaback pakubwa ni brand zaidiTangazo lipo kwa hao wadhamini unao waona hapo mkuu pamoja na Yanga wenyewe. Wote wanakula mileage kubwa kwenye PRODUCT & CORPORATE BRANDING........Tangazo linavyozidi kutrend tunatengeneza customer awareness, watu wananufaika na Customer retention mwisho wa siku wanaongeza customers kupitia watu wanavyozidi kupata taarifa zao zaidi, inazipa hizo taasisi urahisi wa kupata majibu kuhusu CONSUMER BEHAVIOR, makampuni yanaweza kutumia kama njia ya kufanya Marketing Research .k
Ukigusa ADVERTISING & BRANDING na upande wa MARKETING unaweza kuona faida nyingi sana kwa walicho kifanya Yanga hapo. Ila ukiangalia kwa upande wa kishabiki basi unaweza ukahisi ni ushamba na upotezaji wa muda.
Ila kwenye Marketing wamewin parefu sana mkuu.
Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
Nimeuliza kwa ustaarabu tu, mbona unajibu kwa hasira na matusi ya nini
Maelezo mengi ya nini taja idadi ya kesiUna shida ya afya ya akili sasa ili tuendelee na mjadala kasome kitabu cha THE POWER OF HABITS AND HOW TO STOP WORRYING AND START LIVING maana sijaona sababu ya wewe kujibu kwa mihemko kitu cha kawaida kama hicho hili ni jukwaa la kufurahi na kubadilishana mawazo sio la matusi untakiwa upate tiba kwa Chris mauki au Aunt sadaka you're emotionally unstable you need to see psychiatrist.
Nasemaje hichi kipigo kitawatesa sana, na mkituudhi zaidi hilo bango tutakuja kuliweka bunju na hamna kitu mtafanya [emoji23]Hapa Simba wakimpata mwanasheria makini kama Tundu Lissu au Kibatala watalipwa billions of money
Unateseka wewe kuweka mabango ya kishama unaingia gharama za kijinga na ukiburuzwa mahakamani unalipishwa billions of money. Kweli ushamba ni mzigo. Simba aliifunga Yanga 5-0 mbona hakuweka mabango? Mtahangaika sana mwaka huuNasemaje hichi kipigo kitawatesa sana, na mkituudhi zaidi hilo bango tutakuja kuliweka bunju na hamna kitu mtafanya [emoji23]
Hakuna hela za bure fanyeni kaziUnateseka wewe kuweka mabango ya kishama unaingia gharama za kijinga na ukiburuzwa mahakamani unalipishwa billions of money. Kweli ushamba ni mzigo. Simba aliifunga Yanga 5-0 mbona hakuweka mabango? Mtahangaika sana mwaka huu
Young African kuna vilaza, wameshindwa kung'amua kama GSM anatantanga bidhaa za 'Haier' kwenye Jezi za Young African za msimu huu, na timu haipati hata mia.Simba Kuna vilaza hawawezi kung'amua, Kama mo anatumia kampuni yake kutengeneza khanga za Simba na kuuza huku Simba hawapati hata Senti tano wataweza kuhoji kuhusu logo yao kutumika kwenye mabango
.
kwa taarifa yako simba na yanga zimeuza maudhuinkwa azam tv na yanga mametumia maudhui ya azam simba hana cha kushtaki
HahahahaAkili matope ni zako maana huelewi hata hoja iliyopo ndio maana tulisema Eymael alikuwa sahihi Hadi FIFA wakasema alipwe.
Al ahly sisi tumempiga taifa goli la CanavaroSipati picha siku Yanga akamfunga Al ahly japo goli moja sijui itakuwaje uku mtaani
Yanga alimfunga Al Ahly 2014 moja bila,kwani huko mtaani kwenu ilikuwaje?Sipati picha siku Yanga akamfunga Al ahly japo goli moja sijui itakuwaje uku mtaani
Na hayo ni matokeo ya mechi iliyochezwa jumapili 5/11/2023 ambapo mtu alikula bakora tano mujarabu matakoni.Itabaki hivyo hadi dahaliWewe kenge tu hujui lolote,hao NBC ndio bango lao wanatangaza ligi yao,yanga wanahusika na nini??
Nyingine hiyooooYanga ionyeshe imefunga Tano alafu aliefungwa asionekane. Kuwa wewe kuweza? Hiyo logo ya Simba inatakiwa kuwepo hapo mana ndio timu iliyopokea kibano
Labda alitaka waweke picha ya fisiWe ulitaka hapo kwenye logo ya simba waweke logo ya timu gani?
Lete alizowahi kushinda kwanza hta moja.Maelezo mengi ya nini taja idadi ya kesi