ChoiceVariable
JF-Expert Member
- May 23, 2017
- 83,659
- 90,151
Kuna watu wajinga huko Halmashauri ambao wanakuja na mawazo ya kindezi kama haya ya eti kuwa na stendi kwamba ndio chanzo Cha Mapato.Mkuu ni bora hizi Kampuni zingejenga ofisi zao yani mfano Aboud atatufe eneo lake ajenge Standi yake ila Serikali iweke Muongozo tu na Sheria za Usalama na Mazingira, yani Tufanye kama Timu za Mipira ya Miguu tu Mfano Azam yeye kachagua kujenga Uwanja wake Chamanzi, Simba kachagua Boko, JKT kachagua Mbweni, Hii itasaidia kuwapa Urahisi Wateja na Kampuni za Ma busi watachagua sehemu nzuri ili Boashara zao ziende na Serikali inatakiwa kuweka Vigezo vya Umbali kutoka Kituo A na Kituo B ili kuepuka Msongamano, mfano Kampuni A inajenga Mwenge, Kampuni B inajenga Manzese, na Kampuni C inajenga Banana Ukonga, kampuni C inajenga Chang'ombe.
Endelea kubishana nao ,mkono wangu haujaungwa na wakoMimi napenda tubishane na watu wa hapo ofisini kwenu, USINIUNGE MKONO
wewe utakuwa ni mpiga debe wa pale Magufuli stand ama utakuwa ni mlinzi wa wanaofaidika na mapato ya pale getiniHata mwanzo watu walikataa kuhamia Digitali kwenye visimbuzi walitaka wabaki kwenye Analogue lakini kwasasa kila mtu anapenda DIGITAL ,no chenga wala kuzungusha Antena.
Watu huwa wanapinga kwasababu ya mazoea ila kadri muda unavyoenda wanazaoe na kuwa kawaida.
Mabasi kwenda Magufuli ina faida nyingi sana kuliko hasara.
Ajabu kuna wajinga kama Chalamila wanamtetea mjing mwenzao.Namimi ndio maana naona hii kitu italeta shida sana
Treni ina njia yake lazima uifuate,ila basi uwezekano wa kukufata hapo ulipo upoVipi wale wa trenii SGR
Usilinganishe kuhamia digital jambo la kidunia na huu ujinga unaotoka kwa kichwa kimoja cha Chalamila.Hata mwanzo watu walikataa kuhamia Digitali kwenye visimbuzi walitaka wabaki kwenye Analogue lakini kwasasa kila mtu anapenda DIGITAL ,no chenga wala kuzungusha Antena.
Watu huwa wanapinga kwasababu ya mazoea ila kadri muda unavyoenda wanazaoe na kuwa kawaida.
Mabasi kwenda Magufuli ina faida nyingi sana kuliko hasara.
Kwa maana hiyo hakuna ulazima wa kuwa na standTreni ina njia yake lazima uifuate,ila basi uwezekano wa kukufata hapo ulipo upo
Sababu zote za hovyo.
Nimeona vibaka wanashangilia kweli. Maana ndio wataibia watu kwelikweli.Kwanza ni usumbufu, mtu kama unakaa zako geza kigamboni, mwanzo ilikua unatoka na gari geza mpaka mkoani kwako, kwasasa itabidi uanze kutoka geza uitafute magufuli.
Tunarudi enzi za miaka ya nyuma za abiria Kuanza kupoteza mizigo, mfano mtu una mizigo Yako umeipakia kwenye bus kutoka rombo, mwanzo ilikua inakufuata Hadi chanika/mbagala na kwingineko, sasahivi itakubidi utoke huko ulipo ufunge tena safari ya kwenda magufuli kuchukua mizigo.
Gharama itapanda sana ya kusafiri, wale wasumbufu wapiga debe wa pale mbezi ni kitu inayokera sana wanavyogombania mizigo.
Kuna ambao wanasema mbona mnatoka kote huko mnaenda kipawa kupanda ndege, sasa najiuliza uchumi wa mtu anaepanda ndege na anaepanda bus ni sawa? Na huwezi kufananisha usafiri wa anga na wa ardhini, Wanaosema hivi nadhani wengi ni wapiga debe, wanufaika na wanaoishi karibu na mbezi mwisho.
Hii kitu itaondoka na kichwa cha mtu, dar sio kama mikoa mingine Kuna watu wengi sana, stendi Moja haitoshi.
Ngoja tuone
Ishu sio mapato tu. Kwa namna Jiji la Dar lilivyo, kuruhusu mabasi kuzagaa mitaani hakuna tofauti na mbwa waliokosa mfugaji.!Hii imekaa vizuri zaidi kwa sababu kinachotafutwa ni mapato jamaa wawekewe utaratibu huu kwamba bus likitoka linakotota lipitie terminal kuacha salio ndiyo safari iendelee.
Gentleman,Kwanza ni usumbufu, mtu kama unakaa zako geza kigamboni, mwanzo ilikua unatoka na gari geza mpaka mkoani kwako, kwasasa itabidi uanze kutoka geza uitafute magufuli.
Tunarudi enzi za miaka ya nyuma za abiria Kuanza kupoteza mizigo, mfano mtu una mizigo Yako umeipakia kwenye bus kutoka rombo, mwanzo ilikua inakufuata Hadi chanika/mbagala na kwingineko, sasahivi itakubidi utoke huko ulipo ufunge tena safari ya kwenda magufuli kuchukua mizigo.
Gharama itapanda sana ya kusafiri, wale wasumbufu wapiga debe wa pale mbezi ni kitu inayokera sana wanavyogombania mizigo.
Kuna ambao wanasema mbona mnatoka kote huko mnaenda kipawa kupanda ndege, sasa najiuliza uchumi wa mtu anaepanda ndege na anaepanda bus ni sawa? Na huwezi kufananisha usafiri wa anga na wa ardhini, Wanaosema hivi nadhani wengi ni wapiga debe, wanufaika na wanaoishi karibu na mbezi mwisho.
Hii kitu itaondoka na kichwa cha mtu, dar sio kama mikoa mingine Kuna watu wengi sana, stendi Moja haitoshi.
Ngoja tuone
Kwasisi tunaoona madhara ya mabasi yanavyokatiza uswahilini ,tumefurahi sana hayo mabasi kwenda MAGUFULi.Usilinganishe kuhamia digital jambo la kidunia na huu ujinga unaotoka kwa kichwa kimoja cha Chalamila.
Tuombe radhi.
Stand inaulazima wake wa basi kuingia ndani na kutoka na abiria wake kisha kuwapeleka mwisho wa yard yao,Kwa maana hiyo hakuna ulazima wa kuwa na stand
Mkuu sisi tuliopo field ndiyo tunajua kero za mabasi ,muulize mtu yeyote mabasi yakifika vituoni kupakia abiria waliotafutwa na mawakala wao njiani uone...yanasababisha foleni zisizo na kichwa wala miguu.Sababu zote za hovyo.
- Kupunguza mabasi kusimama kiholela barabarani; Hivi kwa akili zako kuna mabasi yanayojali muda kama yale ya mikoani?
Mabasi ya mikoani ndio yanajali muda zaidi ya yote, uliza abiria akichelewa dakika mbili tu akwambie nini humpata.
Hiyo sababu ya kwanza ya uongo.
- Abiria kupata huduma nyingi sehemu moja, ni ujinga pia, haiwezekani abiria wa Mbagala aende mpaka Mbezi Magufuli kutafuta huduma ambayo angeweza kuipatia Mbagala, hii sababu nayo haina maana.
Dah! Eneo ni Moja ulitaka SGR iwe na station ngapi? Basi ni mobile inaweza kuhama.Vipi wale wa trenii SGR