Hii kitu ya mabasi yote kuhamia stendi ya Magufuli imeumiza wengi

Acha uongo, hakuna watu walikataa kuhamia digital, halafu TV sio huduma ya lazima kuwa nayo.
 
Life la new Jersey wanataka kulileta huku mchafukoge
 
Ukiwa na mizigo sasa ndiobalaa
 
Sababu za kipumbavu sana 😏
 
Ni ujinga wa ku centralize vitu vyote katika dunia ambayo mifumo yote inaenda kuwa decentralized.

Yani hata katika mifumo ya traffic control miji mikubwa trend ni kutengeneza satellite cities nyingi nje huko watu wamalize shida zao kila mmoja sehemu yake bila wote kuhitaji kujazana sehemu moja.

Sisi bado tunarudi kwenye kulundikana sehemu moja, bila sababu ya msingi.

Matokeo yake mtu anakaa Mbagala, anakwenda Rufiji, unataka aende kuoanda basi Mbezi Stendi ya Magufuli.

Centralization ni strategy ya serikali ya kizembe ambayo inashindwa kwenda na wakati.

Ujinga mtupu.
 
Hawa wenzetu huwa wanafikiri kurudi kinyumenyume, sijui huwa wanawazaje?
 
Mtu anakaa vikindu anataka kwenda dodoma, badala apandie mbagala anaanza tena safari ya kwenda mbezi, hii Kali
 
Kweli hii ni ngumu kumeza!
 
Tatizo la maskkini wengi ni mashabiki. Wanasema mbona airport na stesheni mnaenda. Hivi wanajua watumiaji wengi wa hizo huduma ni wafanyakazi either wa serikali na binafsi. Hivi wanajua serikali ikimsafirisha mfanyakazi mmoja inamlipa nauli Tsh ngapi?
Maana hao masikini huko Magufuli watatafutana siku sio nyingi. Boda sio usafiri, ni tanuru la moto. Wengi wanaojidai oh boda tule wapi ila wataacha viungo barabarani, bima hawana, na fedha ya kwenda Magufuli pia hawana.
Waheshimiwa hao na V8 zao, wafanyakazi hao na private zao.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…