Hii level siyo ya Kila Mtu, Hata nikielezea hutaielewa

Powell Gonzalez

JF-Expert Member
Joined
Jun 28, 2023
Posts
1,662
Reaction score
3,017
Hii Level Sio Ya Kila Mtu, Hata Niki-Explain Hutaielewa ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ๐Ÿ’ผ

Wakuu, kuna maisha unayaishi hadi unajishangaa kama ulikuwa unaishi au ulikuwa unavumilia tu kabla ๐Ÿคท๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ

Juzi nilikuwa napitia account zangu, nikajiuliza hii ni balance au ni namba ya simu ya mtu ๐Ÿ˜‚๐Ÿ’ฐ

Sio hata flex, ni reality tu imekuwa kubwa kuliko expectations za wengi.
Kuna watu wanapigania kuongeza mshahara, mimi napigania muda wa kupumzikaโ€ฆ maana pesa yenyewe inaingia hata nikilala ๐Ÿ˜ด๐Ÿ“ˆ
Ukishafika hapa, unagundua kazi kubwa sio kutafuta pesaโ€ฆ ni kujua utazitumia wapi.

Sina ratiba ya โ€œkufanya kaziโ€, nina ratiba ya โ€œkuishiโ€.
Kuna siku naamka naenda airport bila destination, nafika pale naamua leo niende wapi. Life inatakiwa ikuogope kidogo ๐Ÿ˜Œโœˆ๏ธ

Marafiki zangu wengi hawajui hata ninafanya nini, wanajua tu nipo โ€œbusyโ€.
Na ukweli ni kwamba busy yenyewe ni kupanga deals ambazo wao watazisikia kwenye news kesho ๐Ÿ“Š

Nishawahi kukaa sehemu nikasikia watu wanajadili hela kama ndotoโ€ฆ nikacheka kimoyomoyo, maana mimi ndio proof kwamba ndoto zikipewa discipline zinakuwa kawaida.

Hata stress zangu ni tofautiโ€ฆ sio ya bills au rent, ni ya kuchagua wapi niweke millions next ๐Ÿ˜ฎโ€๐Ÿ’จ

Kuna mtu atasoma hii akadhani najifanyaโ€ฆ lakini ukweli ni kwamba kuna level ukifika huongei sana, unaishi tu halafu wengine wana-interpret vile wanataka.
Ukiona kimya kimezidi, ujue mambo yameenda mbali kuliko maelezo ๐Ÿคซ๐Ÿ”ฅ
Too much flexin Goddamn!!!!
 
Wakuu, kuna muda maisha yanabidi uyachukulie kama movie yako binafsiโ€ฆ na mimi niko Season 5 sasa, budget imepanda kuliko hata akili za watu wa mtaani ๐Ÿ˜Ž

Kuna watu wanaamka wanawaza breakfast, mimi naamka najiuliza leo nitumie gari ganiโ€ฆ si zote zina tank full zinanisubiri tu pale parking kama askari wa heshima ๐Ÿš˜

Weekend siendi โ€œoutโ€, naenda country nyingine kidogo kupumzisha akili. Huku maisha yamekuwa simple sana, passport yangu imechoka kuliko mimi mwenyewe ๐Ÿ˜‚โœˆ๏ธ

Simu yangu? Acha tuโ€ฆ notifications zenyewe ni kama kelele za soko. Kuna deal zinaingia mpaka naanza kuzima data nipate amani kidogo. Ukiwasha tena, pesa imeongezeka ๐Ÿคท๐Ÿฝโ€โ™‚๏ธ๐Ÿ’ฐ

Kuna watu wanapanga maisha mwezi hadi mwezi, mimi napanga miaka 10 mbele halafu pesa ya leo inajilipia yenyewe. Hii level sio ya kubishana, ni ya kuobserve tu ๐Ÿ”ฅ

Niliwahi kujaribu โ€œkuishi kawaidaโ€ nikachoka ndani ya siku mbili. Nikaona hapana, hii life sio yangu. Mimi ni wa kuagiza maisha, sio kuomba nafasi ndani yake.

Na najua kuna mtu atasema โ€œhii ni story tuโ€โ€ฆ sawa, endelea kufikiria hivyo. Wakati wewe una doubt, mimi nipo kwenye balcony ya floor ya juu nikiangalia city lights na kupanga next move ๐Ÿ™๏ธ

Mwisho kabisa, usiniulize nafanya niniโ€ฆ ukijua sana utaanza kunichukia bure ๐Ÿ˜Œ

#LifeNiLevels #UsijaribuHiiNyumbani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ