Hii miradi siyo ya Hayati Magufuli, ni ya nchi. Waziri Makamba kuwa makini sana

Waiting for the book...ingawa sijamaliza kusoma 'shushushu'...

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
WASAKA URAIS WA CCM WANAMUOGOPA JANUARI KULIKO KITU CHOCHOTE. WANAJUA DOGO ANA MBINU MILIONI MOJA ZA KUINGIA IKULU.

WATAMCHAFUA KWA KILA HALI.


Mbinu milioni moja za kishamba za kutumia Ndumba na kumaliza wenzie na sumu hizo ni mbinu

Walimpa Deo Filikunjombe bag ya hela yenye Sumu na dawa za usingizi apakie kwenye helicopter bila kujua deo akapokea kumbe ndio alikua anapokea kifo chake

Hii ni moja ya sababu JPM alikua hamkubali huyu
OBama wanna be
 
Pole sana. Hivi kwa uongo wa kijinga hivi ndio mtashindana na January?
 
Basi ni sawa.
Nafahamu wenye nchi ni wananchi ila wananchi wenyewe hawasikilizwi linapokuja suala nyeti la maendeleo ya taifa, watu fulani wanajimegea maamuzi wakidhani wanamkomoa mwenye nchi.

Huyu kijana mwenzenu anafanya hayo anayoona ni stable kwake kwa lengo la kumkomoa asiye kuwepo, hilo ni janga kubwa sana.
 

Deep state ipo kila mahala duniani. Hata kwenye vitabu imeandikwa, patakatifu pa patakatifu zaidi.
 
Sina hakika
Serekali hii hii ya majizi ya kura?
Sina hakika na Hilo..ila nilicho na uhakika ni kuwa matajiri wa ndani wakiungwa mkono na mabeberu wana influence kubwa Sana katika masuala ya uendeshaji wa nchi...sijui Kama SGR itaisha...sijui Kama Bwawa la Nyerere lutamalizika katika ujenzi wake...malori ya kusafirisha mizigo yaliyokuwa Kama yamepungua yako barabarani kwa Kasi...yalikuwa yamefichwa Sasa yameachiwa...Tony Blair alikuja hapa kutushauri...mgao wa umeme upo kimya kimya...mgao wa maji umetangazwa rasmi...magazeti ya nchi tajiri likiwemo Financial Times yameanza kutusifu...ukiona unasifiwa na mabeberu ujue Kuna tatizo mahali...arrogance kwenye taasisi za umma na idara za serikali imerudi kwa Kasi...juhudi kubwa zinafanywa kuichafua serikali ya awamu ya tano kuhusu utendaji wake...wanataka kufuta legacy...lakini unaweza kubadili fikra ndani ya vichwa vya wananchi walioaminishwa ubaya na uovu wa mabeberu na makuwadi wa ndani? Waliowahi kumsengenya JPM na wakadukuliwa baadhi wamepewa nafasi za juu serikalini...kumbe kumsema na kumdhihaki Rais wa nchi ni Jambo la kawaida...picha gani inapelekwa kwa wananchi? Kuna good governance hapo?!kwa maoni yangu kinachoendelea ndani ya nchi kwa sasa kinatisha..ni mtazamo wangu tu lakini...
 


Sio muda mrefu wataacha visingizio na kuwa wakweli hawana hela.

Chezea Magufuli wanadhani kuendesha nchi ni swala la kuongea maneno matamu.

Mie nasubiri mishahara ianze kukopwa maana wafanyakazi serikalini ndio viherehere kweli.
 
Unafikiri january makamba atakuelewa? Ukisha kua mlevi wa kutaka urais akili yako ni kufanya chochote kujipatia umashuhuri binafsi. Hapo wizara ya nishati anajifanya hakuna mipango na kazi zinaendelea amezikuta. Anavuruga na kuweka mazingira kuwapa kandarasi watakao muwezesha kwenye ndoto yake. Anaweza hata kuja na wazo kubinafsisha tanesco kwa wahindi hawa wameshatupiga TRC na ttcl.
Binafsi sipendi watu wenye fikra tegemezi kama january makamba. Kushika ofisi tu hata hajajua mambo yalivyo wizarani kaenda uarabuni na kuja na mipango ya wageni. Akae chonjo Magufulists tutampa wakati mgumu.
 
Nenda ulinde kaburi au ndio umemaliza zamu.
 
Japo umetanabaisha kuwa ni personal opinion, lkn inawezekana kuna ukweli mwingi humu ndani---- sijaona unbiased opinion sehemu.
 
Huyu MTU hana hoja kabisa!! Acha Waziri wetu afanye Kazi, Siku zote ukweli hukuweka huru! Mwenda Zake hakuwa Malaika, Hivyo alitakiwa kushirikisha taasisi zote kufanya maamuzi kwa niaba ya nchi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…